Hivi mnajua au hamjui bado.

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,026
Mwanaume anapenda through his eyes na mwanamke through her ears...Yani bandugu mkijua kumpiga lugha mwanamke basi atakupenda tu mana wao masikio ndo yanapenda, sisi mpaa macho yapende ndo tunapenda.
 
Umekosea, tunapenda kwa mioyo yetu. Hatupendi kwasababu nyie ni mahandsome, mnavaa vizuri, mnanukia... Lah!
Tunawapenda wanaojua thamani ya upendo na wanaojua nini mwanamke anastahili.
 
  • Thanks
Reactions: Sal

Pana ukweli hapa, lakini watabisha. Naamini sisi tutakubali. Sjui kwanini wanawake wengi ni wabishi wa uhalisia?
 
Umekosea, tunapenda kwa mioyo yetu. Hatupendi kwasababu nyie ni mahandsome, mnavaa vizuri, mnanukia... Lah!
Tunawapenda wanaojua thamani ya upendo na wanaojua nini mwanamke anastahili.
Shem kuna point ya sikio apo umeiona?
 
Umekosea, tunapenda kwa mioyo yetu. Hatupendi kwasababu nyie ni mahandsome, mnavaa vizuri, mnanukia... Lah!
Tunawapenda wanaojua thamani ya upendo na wanaojua nini mwanamke anastahili.
Mimi sijazungumzia u handsome hapo au mavazi au ulio yasema, nimesema wanawake wanapenda kwa njia ya masikio yani ukipigwa lugha vizuri basi unapenda au uwongo.
 
hiyo nimekutolea mfano tu. Wapo wagumu bwana, utapigisha sound hadi unazeeka na hupati kitu.
 
Aisay kweli lakini hawa wengi wanapenda kwa masikio yani 75% ukipiga lugha wanaregea unafunga bado kiulaini kabisa :biggrin:
 
Fazaa, wanasema wanaume wanakua EXCITED zaidi kwa kupitia wanacho kiona, na wanawake ni zaidi kwa kupitia wanacho kisikia. Sio kupenda. Kama alivo sema Husninyo kupenda ni roho.
 
fazaa unaweza ukahisi ni sound zimekufanya umpate ila by the time unapga sound mwanamke anakuwa anaangalia kama kweli wewe unafaa kuwa mpenzi wake au lah kutokana na vigezo vyake binafsi. Ukija kukubaliwa unaona kama vile sound wakati ni moyo wake ndio umeridhika na wewe.
 
Fazaa, wanasema wanaume wanakua EXCITED zaidi kwa kupitia wanacho kiona, na wanawake ni zaidi kwa kupitia wanacho kisikia. Sio kupenda. Kama alivo sema Husninyo kupenda ni roho.

muelezee huyo. Kwenye swala la kupenda huwa hatupo kama anavyofikiria labda kama tunawapenda tuwachune tu. Lol.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Fazaa, wanasema wanaume wanakua EXCITED zaidi kwa kupitia wanacho kiona, na wanawake ni zaidi kwa kupitia wanacho kisikia. Sio kupenda. Kama alivo sema Husninyo kupenda ni roho.
Mkuu ukimsoma fazaa vizuri basi utagundua katumia neno "through", hilo sikio ni transition tu.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Na mimi nimesema sio FALL IN LOVE THROUGH, ni GET EXCITED THROUGH.
na excitement ni ingredient muhimu kwenye falling in love, hivi unajua excitement ndio inayoleta ublind na sio love kama wengi tunavyojidanganya?
 
Back
Top Bottom