Ushoga ni tabia,maumbile au maradhi? Angalia na ya Museveni..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushoga ni tabia,maumbile au maradhi? Angalia na ya Museveni.....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by platozoom, Mar 2, 2012.

 1. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Wiki iliyopita nilikuwa natazama kipindi cha Hard talk (BBC).Mwandishi alimuuliza Rais Yoweri Museveni ni kwa nini anakiuka haki za binadamu kuhusu mashoga (Ikumbukwe inaandaliwa sheria kali sana kuhusu hawa watu),akajibu kwamba:

  Tokea zamani hawa mashoga walikuwepo hapa Africa na kwamba tumeendelea kuishi nao na maisha yao yamekuwa ni mambo yanayowahusu wao wenyewe.Ila anachokikataa ni tabia za nchi za magharibi ku-promote ushoga na kuhimiza tabia hizo kwa kisingizio cha haki za binadamu.

  My take: Inawezekana kabisa tabia hizi zimekuwepo zama nyingi hapa kwetu na tofauti wengi wetu tunavyofikiri kuwa inasababishwa na kuiga watu wa magharibi.Hivi zama hizo watu hawa walikuwa wakiingia kwenye ushoga kwa sababu zipi?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hilo swali ungeenda pale vijana hostel kinondoni baobab bar watakusaidia maana pale wapo kibao au nenda traveltine kipindi cha show za taarab
   
 3. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280

  Kwa sababu mimi si mpitaji wa maeneo hayo..wewe unaweza kuwauliza pengine tunaweza kupata mwanga....
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Si zamani tu, hata mpaka leo sijui kwa nini watu wanaingia kwenye mambo hayo!
   
Loading...