Kuna huyu jamaa kaoa dada yangu, ushemeji umegeuka na kuwa urafiki, jamaa ni mtu wa viwanja sana kama nilivyo mimi, pia ni mnywaji na anapenda sana totoz, kila nikigongana naye lazima nimkute na...
Nishakuwaga na mtoto tangu nikiwa form 4,so biashara hiyo nishamalizaga.Natafuta demu tasa tule bata mpaka tuzikane.
Sifa nyingine ni awe murembo kwa kiasi chake au zaidi,sio mnene wala kimbao...
jaman nahitaji demu kwa aajili kubanjuka nae! me ninauwezo wa kutosha na maufundi ya kufa mtu kunako 6*6. kama kuna yoyote ambaye ypo tayar anichek kwa namba 0712572664
habari za humu ndani?natumai muwazima kama mimi.
pamoja na kupatikana kwa nadra sana humu leo nawaandikia ujumbe huu wote wenye wapenzi,wanaotarajia kuwa na wapenzi,wanye wachumba na hata...
Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sasa hayawi hayawi sasa yamekua!!!!!!!!! It is our tradition MMU members kungusha party za kufa mtu kusherekea mwaka mpya humu Jf! Ni...
Kama taarifa ya awali ilivyobainisha kuwa HOE alipata matatizo baada ya kuvamiwa na vibaka usiku, pia tukaambiwa amelazwa hospitali, hivyo kwa anaefahamu hali yake atujuze wengne, au kama yupo...
Kuuliza siyo ujinga wandugu. Naomba kufahamu uzoefu wa kuishi na msichana wa kazi kwa sisi wababa wa familia tarajiwa. Kwa sababu siku hizi hawa ndio chanzo kikuu cha ndoa kuwa ndoano.
Binafsi...
wakuu naombeni uzoefu wenu huku mitaani.
Kwangu mimi hizi zana huwa naendaga hospital nazoa za kutosha na huwa nakuwa huru kwani hakuna mtu anayekufuatilia
Sasa leo ziliniishia nakona isiwe tabu...
Eti ujumbe wa wanawake wenye kuiba waume za watu, Eti aache, eti kahangaika nae mwaka jana wooote huyo Bwana kama anakupenda kweli hajamwacha mkewe unadhani mwaka huu utafanikiwa? Eti wengine bado...
Wajameni hivi kwa nini nikikojoa uhai nahema sana? Mbona sijakimbia kwa nini nihemeheme hivi na kuchoka sana.nahisi presha inanipanda kidogo jamani, sitakufa juu ya kifua cha mtu kweli?
Kuna jambo ambalo mwenzenu linanitatiza kwa kweli na hapa nahitaji ushauri wenu.
Jirani na mahali ninapoishi amehamia dada mmoja mwanajeshi, na nyumba anayokaa imezungushiwa ukuta na ina nafasi...
hii mada niliweka huku lakini ilihamishwa, lengo langu nilitaka wengi waisome na kupata kuelewa kitu, kwa sasa maelezo meingi yametolewa kwa hiyo naomba mods msitoe hii mada hapa ili wengi pia...
Ni hulka ya wanaume kujisikia vibaya mpezi au mke wake anapotamka waziwazi maneno ya kumpa misifa mwanaume fulani. Binafsi huwa inanikera na moyo kuwa na wivu mkali na automatically mwanaume huyo...
Habari MMU.
Jumanne jioni tulipata mgeni nyumbani kwetu (Housegirl). J5 asubihi nkamuacha wife na hsg home nkaenda kazini. Kabla ya kumleta yeye ndiyo alikuwa anamtaka na kusistiza ni muhimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.