KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,943 Reaction score 9,457 Mar 3, 2012 #1 Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
Soma hii tungo je kuna ukweli juu yake?Eti mwanamke nikama JIMBO MWENYE SERA NZURI NDIYE ANAYECHAGULIWA??Je hilo nikweli je imekaaje??
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Mar 3, 2012 #2 Mmmmmhhhhh!!!!!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,653 Mar 3, 2012 #3 mostly true na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,908 Mar 3, 2012 #4 Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,153 Reaction score 9,270 Mar 3, 2012 #5 Wenye sera Nzuri watachaguliwa na kwenye sera Nzuri au watachaguana .. Ila wengi hupenda kujichanganya ..
Wenye sera Nzuri watachaguliwa na kwenye sera Nzuri au watachaguana .. Ila wengi hupenda kujichanganya ..
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Mar 3, 2012 #6 Kweli siku hizi kila kitu siasa tu
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,789 Mar 3, 2012 #7 Lisemwalo lipo ! Kama halipo ....
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Mar 3, 2012 #8 Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu?
Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu?
TANMO Platinum Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,086 Reaction score 12,691 Mar 3, 2012 #9 Mugglin said: Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu? Click to expand... sometimes, or most of the time coup d'etat applies..!
Mugglin said: Sasa jimbo MWANAMKE linabadili utawala kila baada ya miaka mingapi? I mean uchaguzi unarudiwa kupisha wenye nguvu? Click to expand... sometimes, or most of the time coup d'etat applies..!
S Senator p JF-Expert Member Joined Oct 27, 2011 Posts 282 Reaction score 43 Mar 3, 2012 #10 nitonye said: Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha Click to expand... sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam.
nitonye said: Siku hizi hamna hiyo kitu mkwanja wako tu unatosha Click to expand... sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam.
KakaKiiza Platinum Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,943 Reaction score 9,457 Mar 3, 2012 Thread starter #11 Senator p said: sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam. Click to expand... Siasa ni uchumi kwa maana hiyo vinarandana!!Haijalishi sera ikiisha inamaana pesa imeisha jimbo watu wanalitolea macho!!
Senator p said: sindio sasa km jimbo mwenye pesa na sera anachukua,au unaweza ukawa na pesa una sera ukachua,mfano Rostam. Click to expand... Siasa ni uchumi kwa maana hiyo vinarandana!!Haijalishi sera ikiisha inamaana pesa imeisha jimbo watu wanalitolea macho!!
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Mar 3, 2012 #12 Hayo majimbo rushwa nje nje, hamna TAKUKURU wala HOSEA..
Mtambuzi Platinum Member Joined Oct 29, 2008 Posts 8,809 Reaction score 15,441 Mar 3, 2012 #13 Nimejifunza jambon hapo.....................
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,919 Mar 3, 2012 #14 Ukweli upo hapo!
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 883 Mar 3, 2012 #15 The Boss said: mostly true na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol Click to expand... kura zinaibiwa au?
The Boss said: mostly true na sometimes uchaguzi unakuwa sio huru wala haki....lol Click to expand... kura zinaibiwa au?