mtoto mpe mapenzi yake na mimi nipe mapenzi yangu(my wife acharuka) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtoto mpe mapenzi yake na mimi nipe mapenzi yangu(my wife acharuka)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Typhoid, Mar 2, 2012.

 1. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wadau,
  kwa wale wenye watoto haswa wanaume naomba mnisaisie hili. Nina mtoto mmoja wa kike ana miaka 3,huyu mtoto ametokea kunipenda sana kuliko mama yake ingawa wote tunafanya kazi na kurudi jioni huwa hatuko nae mda wote. Hawezi kulala kabla sijarudi nyumbani, nikirudi nyumbani anachukua mda mrefu sana kulala,anapiga stori nyingi anasema daddy i miss you, can you teach me this, that na bla bla kibao, anataka nicheze nae mda wote. Sasa imefikia kipindi mke wangu anamuonea wivu anaona mapenzi yangu yamehamia kwa mtoto na yeye simjali kitu ambacho mie binafsi sikioni, nilishtuka jana nilipomwamsha baada ya mtoto kulala ili kusex akanijibu mwamshe mwanao mwendelee kucheza. Wadau nimelala bila kusex, mke amenuna, alivyoamka asubuhi akamwamkia mtoto...we mtoto uwe unawahi kulala unasikia? mtoto akajibu why mammy? Sasa wanaume wenzangu niambieni nifanyeje? maaana hata tulipanga kutafuta mtoto mwingine after 4yrs my wife amesema ameshtuka tutafute sasa hivi maana huyu atakuwa na kiburi.
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Mar 2, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Give her the attention she deserves.

  And take care of your baby girl by fulfilling all of your fatherly responsibilities.

  To do both is very much doable. And if you put your mind to it you can do it.
   
 4. m

  mareche JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  du sijui ngoja watalamu waje
   
 5. edcv

  edcv Member

  #5
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sentensi aliyosema mkeo is correct, kila m2 mpe attention anayodeserve coz naamini mtoto na mama ni tofauti. Tena basi katika kumjali mkeo ur baby also learns something. Kuwa biased kwenye family(spouse aganist child or child aganist child) is a big crisis ndg yngu 'dont try it @ home'
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyo mke wako ana matatizo aisay, yani mimi wife wangu anapenda sana kuona napenda watoto zangu, mana anajua wazi mwanaume hawezi kumpenda mtoto/kuwapenda watoto wake kama hampendi mama wa watoto zake.

  Kampimishe akili mke wako, lazima ana kasoro tu flani :biggrin:
   
 7. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hebu mliooa leteni mauzoefu hapo
   
 8. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  inaonyesha jamaa anakaa na mtoto mda mrefu kuliko mkewe ndo maana mama mtoto anacharuka, pia mtoto anaonyesha mapenzi makubwa sana kwa baba, mama anaona wivu. Patamu sana hapo
   
 9. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ofcourse my love is well balanced, but it seems like am biased according to my wife's claims. There is children's love and my wife's love. These are two different love and two different attentions.a. The point is why she think am biased? Personally i don't see any difference to my wife's love before and after my baby girl birth
   
 10. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Kinachomsumbua mkeo ni aina ya wivu.Wivu huu kula mtu anao ila mke wako anauzidisha kiasi kwamba pale unapohitaji kuwa naye hataki. I don't know how much your daughter occupies you, lakini nilifikiri kwamba wakati unacheza na mtoto waweza pia kumsemesha mke wako. Au haiwezekani? Naona kama mkeo anajisikia mpweke sana mnapopiga stori na mtoto. Encourage her to participate in the exchange between you and your daughter.Au mkeo kiingereza kinampa shida? Nimegundua kuwa daughter wako ana uwerzo wa kubonga kiingereza vya kutosha na anapenda mazungumzo yenu yawe kwa kiingereza. Pengine hapo ndo panamtatiza mama kiasi cha kumjaza ghadhabu na kukugomea unyumba. Jaribu kutumia Kiswahili kwa wingi ukiwa na bintiyo ili mama naye ashiriki. Mi ndo nahisi hivyo.
   
 11. LD

  LD JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inaweza kuwa kweli hii.
   
 12. Sal

  Sal JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  mkeo nae ana matatizo, mtoto si wa kwenu pamoja, hivyo jumuikene pamoja kucheza nae, au kii-inglish kinampiga chenga? maana hizi shule za siku hizi bwana, sitaki kuandika sana....
   
 13. F

  Fofader JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mpe piriton mtoto alale mapema!
   
 14. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua bwana tulioa wakati mwingine unashindwa kumuelewa mkeo, mie nimejaribu kumwambia huyu ni mtoto wetu lakini anadai namdekeza mtoto kuliko yeye, mtoto anamwaga ung'eng'e mda wote. Mama yake hataki mtoto ajue lugha moja so huwa hataki kuchangia tukiongea English. Mtoto nae anafurahi nikiongea nae, akimuona mama yake ananyong'onyea. Hata siku moja nimewahi toka kazini nikapitiliza hadi bedroom hawakuniona walikuwa jikoni, nikasikia anamwambia mtoto... Hey eat fast go to bed ur daddy is not coming today, he has emergence at work. Mtoto kuja bedroom ananikuta.
   
 15. Gabinus son

  Gabinus son Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Father z the head of da family' masuala ya kuchezacheza na mtoto mpaka mkeo anakosa hata mda wa kujadl maswala ya family usiku' z not gud' KINACHOTAKIWA HAPO NDUNGU MTOTO APEWE AMRI YA KULALA MDA WA KULALA UNAPOFIKA KAMA ITASHINDIKA KWA KUTUMIA SYCHOLOGIA KWA KUMWAMBIA....'mwanangu mtoto anatakiwa kulala mapema ili akuwe na usingizi ni moja ya 'balance diet mwanangu kalale mapema kesho tena nitakfndsha...!
  USIPENDE MTOTO AKUZOE ZOE SANA. MTOTO Lazima atambue na kuheshmu mda wa kulala. Mkeo yupo right zinduka haraka ndungu!
   
 16. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Tambua kuwa mtoto wa kike humpenda babae na akija wa kiume atampenda mamae,pia kama mzazi tambua wanawake hawana nature ya kupendana,so mkeo anajiona kubaki pekee coz kaleta mtoto wa kike,anaona upendo wake umepokwa na mwanae dats hata mtoto anapomuona mama yake anakuwa mpole.hilo ni tatizo ambalo pia limentokea binti yangu asiponiona halali na wife alikuwa kama yalivyokutokea bt nliamua kuwafanya wote mhm kwa tym nkiwa hm ntacheza na binti yang then ntamuaga kuwa wacha npumzke kwaajili ya kesho kumtaftia zawad ndipo napata muda wa kujadili mengneyo na mamae,so vzr ni kutambua wajib kama mzaz kwa mtoto na kama mume kwa mkeo haitokupa taabu!wanawake wanawivu ndg hata pasipo stahili kufanya wivu so hekima yako iepushe yasiyofaa.
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Una watoto?
   
 18. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mhhh,sikujua kama kitu kama hiki kinawezekana,
   
 19. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli mkuu! Thanks for letting me know that
   
 20. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe inabidi nibalance equation
   
Loading...