Why women are so complicated? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why women are so complicated?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaNanii, Oct 18, 2008.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2008
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Habari zenu jamani !

  Kuna swala moja huwa linanitatiza sana kuhusu hawa wanawake hususani katika maswala ya mahusiano !

  Yaani wengi wao niliobahatika kukutana nao wana-compilications za ajabu ajabu tu.Yaani inafikia mahala huwezi jua anataka nini au kachukia kipi. Ilimuradi ni vurugu tu !

  Hivi kwa nini wanawake wanakuwa hivyo ???
   
 2. S

  Sunshine OLD Member

  #2
  Oct 18, 2008
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Do not generalise.
  You just met wrong candidates.
  Au uliwapenda bila wao kukupenda.
  Love is a two way traffic.
  Pole sana.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  kuoa kuttamu asikwambie mtu"""
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unavo sema kakananii ni kweli zamani nilimpelekea girlfriend wangu wa siku hizo laki 5 anunulie anachotaka akakataa,nikazitumia zile hela kwa shughuli ingine baada ya wiki akaniomba elfu 50.Nikamwambia mbona ulikataa laki 5? akasema eti alikuwa na hasira siku ile.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni kweli wanawake wana uneccessary complications mpka basi sometimes mpaka kero
   
 6. Nyaralego

  Nyaralego JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2008
  Joined: Nov 13, 2007
  Messages: 732
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Oestrogen!!!
   
 7. tpaul

  tpaul JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 3, 2008
  Messages: 13,080
  Likes Received: 3,576
  Trophy Points: 280
  kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.
   
 8. tpaul

  tpaul JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 3, 2008
  Messages: 13,080
  Likes Received: 3,576
  Trophy Points: 280
  kwa kweli hawa wadudu kakananii wakati mwingine wanatia kichefuchefu. sijui wana mapepo! wakati mwingine unaweza ukashindwa kuwaelewa kabisa. waweza kumpa kila kitu na kumheshimu lakini asikuelewe. hawa viumbe ni wa ajabu sana kusema kweli.
   
 9. M

  Mama JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  remember your mother, sister, wife and daughter
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,090
  Trophy Points: 280
  Binadamu ambao ni "complicated" wako pande zote mbili si wanawake pekee yao ambao wako "complicated".
   
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,090
  Trophy Points: 280
  Tumia lugha ya kistaarabu kaka, wanawake kamwe hawawezi kufananishwa na wadudu.
   
 12. M

  Mama JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  haswaa.. na hadi kujua mwenzio yuko complicated na wewe uko complicated pengine maradufu. Wanawake waheshimiwe jamani, wana taste zao kama walivyo viumbe wengine.
   
 13. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2008
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  That's why wakaitwa HAWA
   
 14. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Wewe umeoa?
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,375
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  Weeeee kithuku nimeolewa na nshapata fuo raha na amani ya kutosha
   
 16. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Guess your remote is not working .. mhh you sound extremely complicated already if not confused ... pole sana .. change the batteries .. maybe duracell will do.
   
 17. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni jinsi ya kuijua hiyo duracell,na ukishaijua bado kuna tatizo la kujua ni duracell ya wapi itadumu ili remote isije kuzimika usiku wa manane na maduka yamefungwa.Mana wengine utawasikia duracell za kaskazini hazifai kabisa pamoja na kwamba zinavutia kwa macho,wengine usije kununua duracell ya ukanda wa pwani nk.lakini mie nina rafiki yangu ana duracell ya kaskazini,Da naima usisikie iko imara hiyo acha kabisa.NIKAGUNDUA MAMBO HAYA YA DURACELL HAYANA FORMULA.
   
 18. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni ukweli usiopingika kwamba mama zetu na dada zetu hawa are a bit complicated.Binafsi,nafikiri inaweza kuwa inasababishwa na hisia.Unajua mambo mengi hasa maamuzi ya ndugu zetu hawa utawaliwa na hisia zaidi kuliko hali halisi.Na ndo mana wanaweza kuamua jambo ukabaki mdomo wazi.

  Wengine wakasema,ndugu zetu wametokana na ubavu,na kwa kuwa ubavu umepinda basi na mambo yao watu hawa uwa yamepinda pinda.THEY WILL NEVER BE STRAIGHT.
   
 19. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2008
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani sometimes kuna kukereka na hawa,,, wewe fikiria asubuhi unalalamika hujui watoto kama watapata angalao mlo wa mchana na mnajadili wote,,,, baada ya nusu saa tu anaanza,,, oooh baba naniiii naomba hela ya kwenda salon,,,du hapo ndo huwa nachoka.
   
 20. z

  zenaisj New Member

  #20
  Oct 20, 2008
  Joined: Oct 17, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Complications" is a personal character not applicable to all women. Some women are decent!
   
Loading...