Wajibu wangu kila asubuhi

bCg

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
248
500
Niamkapo, Nasali na baadaye,
salamu kwa marafiki ndugu na jamaa:
wakubwa=shikamo
vijana wenzangu=Habari
wadogo zangu=umeamkaje.

Mungu akulinde kwa upendo wako wa kukubali kuitikia salam yangu. AMEN.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,756
2,000
Yaani unawajibika kusali na kufanya kazi. Hayo ya salamu ni mbwembwe tu, lol.
 

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Hehehe, i once thought of doing stand up comedy ili nisiende shule. Mshua Mtambuzi akaniambia you will be a dumb comedian. Sijui nifanye saa hizi part time?

ila hujanisalimia banaa! Yerrooo?

Alikubania au alijua utafungwa tu kwa akili yako!!!!!
We salam tu, tangu juzi umejifichia wapi???
 
Last edited by a moderator:

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,756
2,000
Hehehe wivu tu wa kizee. But he was right kwa kweli.

mbona nipo kaka. Japo nimefichwa kiduchu na majukumu ya kuchunga ng'ombe. Uje unywe dang'a aisee
Alikubania au alijua utafungwa tu kwa akili yako!!!!!
We salam tu, tangu juzi umejifichia wapi???
 

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,040
2,000
Niamkapo, Nasali na baadaye, salamu kwa marafiki ndugu na jamaa: wakubwa=shikamo vijana wenzangu=Habari wadogo zangu=umeamkaje. Mungu akulinde kwa upendo wako wa kukubali kuitikia salam yangu. AMEN.
Kusali sawa lkn salam hata jogoo anaamkia "hajambo ulipooooooooo" kila saa 11 asubuhi. Sala na kazi ndio mpango mzima!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom