Habari kwenu!
Wanawake wengi enzi za uchumba hujituma sana na kuonyesha kwamba kweli ni wanawake wanaofaa ktk ndoa lakini wanapoolewa tu hubadilika kama ifuatavyo:
1. Alikuwa msafi sana lakini...
Nimeamua kufunguka na kuweka hii adharani jamani! natanfuta mpenz mwenye upendo wa dhati, na aliyetulia na mwajibikaji na mwenye kumpenda mungu na kumwofu!
Je unajua kuwa una uhusiano mkubwa sana na siku yako ya kuzaliwa?
Sio mwezi wala nyota, ila ile siku ya juma uliyozaliwa.
Kama wewe u mbishi na mjuaji, basi fuatilia hapa:-
Day Of Birth
Jamani naombeni ushauri, si muelewi huyu mtu.
Tumekuwa kwenye uhusiano kwa miaka 2, lakini kwa sasa tupo mbali.
Mi sababu ya masomo, anajua siwezi rudi mpaka baada ya 6 years, mwanzo alikubali...
Wadau hamjambo?
Nimekuwa nifuatilia kwa karibu mfumo mzima wa maisha ya wanawake wengi hapa Tz hasa wale wanaojiita wa kisasa.
WIGI NA KUWEKA DAWA NYWELE.
Wanawake kwa wasichana wengi...
Eti wana mmu,hili limekaaje ?
Kijana katika harakati zake za kutafuta jiko ama ubavu wake wa kushoto,anajikuta amepata sehemu ambapo karibu vigezo vyote mtoto wa kike anavyo.
Wakiwa wanaendelea...
Weweeee...acha fujo mama...haka kavitz kenyewe bado nakatwa mshahara na mhindi, huko driving skuli alafu ukimaliza uendeshe gari ya nani? Hebu tulia huko Ala!
Nimeamua kuwa single kwa mwezi 2 sasa bila ya demu yeyeto nimejikuta nmefanya makubwa kama kununua subufa 2 tv flat inch 21,na laptop japo si dukani na simu aina ya lumia 600 na kujiwekea sh...
Acha Mungu aitwe Mungu. Hapa ndipo ninapoamini laws za compensation na conservation of attributes. Yaani, unakuta mwanamke anayesemwa mzuri hajui chochote kitandani, akijitahidi sana anakuwa...
Salaam sana wana MMU na wengineo wote;
Ilikuwa ni juzi ijumaa jirani yetu amepata balaa la kuunguliwa na nyumba;
Kwa kifupi;
Baba mwenye nyumba alimwacha mkewe wa ndoa akaamua kuvuta ndani house...
Mambo vipi,
Watu wa swax,nkuyalaula mwakata uli kalesa,watu wa ilemba,sakalilo sumbawanga town,mko byee? mpaka bonde la ziwa Rukwa nawatakieni mavuno mema!
Wapendwa habari za jioni. Ninaomba kama kuna mtu anaye jua lugha za mahaba zinazo tumika pwani anisaidie. Nina ahadi ya kukutana faragha na mdada fulani mwenyeji wa mkoa wa Tanga ifikapo kesho...
Habari wana MMU?
Nina umri wa miaka 25, nina urefu wa futi 6, rangi maji ya kunde, dini yangu mkristo.
Ninayemuhitaji, awe MWANAMKE mwenye kimo kama au kinachokaribiana na changu (yaani...
Hapo zamani za kale aliishi mvuvi masikini ambaye kwa jina aliitwa Majuto. Majuto aliishi kwenye kijiji
kidogo pembeni mwa ziwa dogo pamoja na familia yake. Kwa miaka mingi sana watu wa kijiji...
Bila kuangali mliachana kwasababu gani, unawezaje kujua bado anakupenda ata kama tayari ana mahusiano na mtu mwingine?au kuna uwezekano wa nyie kurudiana? Au hakuna kabisa?
Habari zenyu mabibi na mabwana,
Kama week end yako haijaenda poa basi nenda kajipoze na glass moja bariidii, yaweza kuwa ya maji, maziwa, juisi, soda, bia, wine etc mradi tuu iwe moja tuu.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.