Nini kinamfanya mwanaume kuonekana kicheche?

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
0
Unaweza ambiwa wewe kicheche but haujaoneka na mabinti wala nini.Sasa najuiliza nini hasa kinachofanya man uonekane kicheche?
 

illuh

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
1,259
1,195
ahhhh kuna watu vicheche wa kichini chini (Kimya kimya).....Usoni mwa watu malaika kumbe ashatembea na watu kibao...Kila mmoja anatembea nae kwa siri yake....Ukijiona umeshakuwa nae akakuacha bila sababu za msingi akaanza mahusiano na mwingine ndio hapo utamjua huyu mwanaume kicheche....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom