Ladies let us wake up...

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
:A S 39::A S 39: Hebu tuandamane tu maana Threads za kutupigia kelele zimezidi wakati wao ndio chanzo

Attachments

  • 995030_10200936526328349_2027581390_n.jpg
    File size
    21.1 KB
    Views
    1,535

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
 
miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,917
2,000
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,

hapo si ndiyo mwili unataka sasa ukiguswa shingo tu mambo tayari
 
Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
Kwani wenzangu hamjaamkaga tu?the day i learnt 'men are liars' nimekuwa na amani sana...and i hardly waste an hour in pain for one..
na we kabisa unajua siku hatari na bado unajitegesha,??no matter what always take care of yourself,
Kujitegesha ndio upuuzi wa watu wengi wanaofanya wakidhani ni njia pekee ya kumkamatia mtu,wanaume wenyewe wa sikuhizi kama samaki..akisikia unajitumbo anakimbia kama si yeye unabaki kurudi unalia oooh mwanaume huyu kumbe ulijitakia..

Mwingine anaambiwa kabisa mimi sitaki kid sahizi..anadhani utani......
 
JJ10

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
282
0
:A S 39::A S 39: Hebu tuandamane tu maana Threads za kutupigia kelele zimezidi wakati wao ndio chanzo

Take it from me' don't stay with a man for more than a year hoping that you will get marriage!! Even a single day it's enough for judgement to a man who is committed & knows what he wants from a woman!! He who stays with a woman for several years' believe me he is there for refreshment..

Time can not change someone behavior! And if we agree that all we are human being' we should also agree that no one is perfect!! So you should train your mind to accept some weaknesses of your fellow.
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Kujitegesha ndio upuuzi wa watu wengi wanaofanya wakidhani ni njia pekee ya kumkamatia mtu,wanaume wenyewe wa sikuhizi kama samaki..akisikia unajitumbo anakimbia kama si yeye unabaki kurudi unalia oooh mwanaume huyu kumbe ulijitakia..

Mwingine anaambiwa kabisa mimi sitaki kid sahizi..anadhani utani......

yani huyo anaekupa live ndo hata usijiroge,utasuffer mwenyewe
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
19,734
2,000
Thanks God nimepita bila kuabort..and i'll never let my daughter do so...niwaambie tu ambao mko kwenye mahusiano wanaume wengi humdharau mwanamke akisha abort..ila ukiwa na msimamo hata yeye itafika mahali atakukubali..
 
Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Hahaha twin kumbuka kuna serikali nayo..sijui itaunderstand??

Aki understand Mungu inatosha sana twin,hiyo serikali unajitoa ufahamu tu unajifanya ulikuwa chizi kamili wakati unampa haki yake ya kifo!!
Tell the Government ni mahaba nichanganye kama unga wa kupikia cake,they 'll understand pia.
 
badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,877
1,500
Killing him af na we ukaozee jela,no wayyy,life is sweeter after moving on...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom