Hivi unafiki, umbea na kuharibiana ndoa ni hulka ya watu weusi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi unafiki, umbea na kuharibiana ndoa ni hulka ya watu weusi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyamgluu, Apr 14, 2010.

 1. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Nimeamua kuuliza swali hilo hivyo, si kwakua ninadharua rangi yangu lakini ni kitu ambacho kimenipa hasira sana.
  Nimekua na relationships za kutosha mpaka sasa nilipoamua kutulia. Kati ya vitu ambavyo nime notice ni kua wa afrika hupenda zaidi kuingilia mapenzi ya watu wawili na kumwaga sumu za umbea na unafiki kwa nia ya kuharibu relationship.

  Nikafikiria mbona when I was dating other nationalities kitu kama hio hakuna. Japanese, Whites, Chinese hata arabs na indians to a lesser extent hawana tabia za kuzusha uongo kwa wapendanao ili kuharibu relationship, zaidi mwanamke atajirahisisha na kukutongoza kivyake sio kwa kumharibia mwenzake.
  Kuna ma best friend kibao wanamfwata girl wangu na kuongea mambo yasiyo kweli, other bitches way below my standards and league nao wanatafuta jinsi ya kuharibu wakati hata nikiachana na mpenzi wangu siwezi hata kufikiria kuwatongoza.
  At times I see no reason why people decide to ruin a persons relationship.

  IS THIS NEGATIVE AND DESTRUCTIVE BEHAVIOUR AN AFRICAN THING.
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  MHH..WHATS THE POINT THAT YOU ARE TRYING TO DRIVE HOME ndugu....SIJAKUPATA ZAIDI YA KUJUA UNA DATE FOREIGNERS zaidi.
  KUWA THIS IS AN African thing.... i dont think so...
  Nadhani uharibifu ni hulka ya mtu...inategemea uko vipi na hao wanaokuharibia... im sure wako karibu na wewe lakini pengine unajifanya matawi ya juu sana na kuwadharau ndio maana wanajua soft spot yako hi hapo ... hivyo kupasugua ili upate maumivu.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  WOS inawezekana anajifanya matawi, at the same time ni player!! hivyo wanawaokoa wawapendao.
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  YAANI!
  Na hilo la kujifanya hao siyo ligi yake..ndio wanamuonyesha sasa who is who lol.
  Natamani kumuuliza hivi:
  A) Kwa kuwa yeye ni muafrika, ameshaharibu relationships za wengine ngapi
  B) Kama hajawahi, ni kwanini aseme hii ni African thing?
  C) Kama amewahi, je ni kwa sababu ya rangi yake au race yake kama mwafrika au ni hulka yake mwenyewe?

  Natarajia majibu nitayapata kwenye vipengele vyote AA, BEEE na CHEE!
   
 5. F

  Fratern Member

  #5
  Apr 14, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndugu, kumbuka 'An iddle mind is the workshop of the devil!' Hivyo basi, umbea na masengenyo ni hulka ya mtu na hii inajitokeza tu pale unapokuta mtu hana kitu cha kufanya. Lakini hata hivyo, ninaposema ni hulka, sio tu kwa wale ambao hawana kazi, hata wale walioko makazini, nimeshuhudia, wat wako kazini lakini wakipata mwanya tu; hadithi ni zilezile, kusengenya watu! Hii ipo kwa binadamu wote, ila kutokana na tofauti za elimu na kiutamaduni, naungana nawe kwamba kwa Waafrika ni zaidi. Hata waliosoma, hili lipo lakini sio sana kama kwa watu wa kawaida!

  Umbea ni sumu, tena ni sumu ambayo nailinganisha na uchawi na ushirikina. Utafiti wangu kwenye jambo hili, unaelekea kushabihiana kuwa kiini-msingi cha maongezi ya watu wambea sio tu wanaongea au kumsema fulani yuko hivi au vile, na maongezi ya ushirikiana yamo humohumo. No wonder, Waafrika ni wachawi kuliko binadamu wengine.
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Jamani..umbeya hauna mzungu wala muasia wala mwafrika!
  INGEKUWA WAZUNGU siyo wambeya basi wasingekuwa na misamiati au istilahi kama " rumour mongering" "gossiping" "hearing it from the grape-vine" or "hearsays".
  etc.
  Tukipenda sana kujiponda na kuwakweza wengine kwa kuwapa sifa kuliko wanavyostahili...hatujitendei haki wala hatuwezi kujibadilisha tufanane nao.Ukitaka kufanana nao kwa kujitutumua kuwasifia..ujue ukiwapa mgongo tu wanakusengenya na kukucheka. Ndivyo walivyo.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Apr 14, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Umbea ni asili ya binadamu. Hauna rangi. Binadamu ndivyo tulivyo na hakuna binadamu asiye mmbea. Kilicho tofauti viwango tu.
   
 8. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hahaha brigita na womanofsubstance, you have made me smile :):)
  Swala la kuandika kuwa nime date foreigners ni kujaribu kujulisha kuwa nina first hand experience from what I'm saying na sio kwamba nimesikia kwa watu wengine. Sio kujifanya hahahaha!!
  And ofcourse kila mtu ana viwango, hata nyie naamini mtakua na viwango ( I really hope so!!) You can "love" all but you certainly can't pull down your panties for all.
  Kuna mtu mwengine akikufwata inambidi umsifu tu kwa courage aliyokua nayo na kumwambia aendelee kukufikira katika ndoto zake.
  Nyani Ngabu kasema kua
  Nakubaliana nae, lakini ni hilo swala la VIWANGO TU ndio haswa nalo lisisitizia.
  Na si kwamba tunajidharau watu weusi na kuwapa sifa weupe, hapana in actual fact I used to prefer my woman of colour than others and I'm happily maried to a bantu queen at the moment, ila ni kitu evident in the circles of friends we have, tukienda kwenye gatherings au parties, maofisini their seems to be a relatively higher level of gossiping WITH THE INTENT OF RUINING A RELATIONSHIP in black peoples conversations than others (Arabs and Indians follow very closely but we take the crown).

  Unajua kuna gossip za kawaida, flani kafanya hivi, kamtokea flani na kuna gossip zingine mtu anakufwata anakwambia mke wako alikua demu wa mshkaji wangu na wanatumiana message za mapenzi e.t.c. when it's not true!! Fine ni mtu na mtu cause wengine hawana lakini if you look closely uta realise sisi weusi kwa asilimia kubwa zaidi ya wenzetu ndivyo tulivyo.
  At uni rafiki wa girfriend wangu had the hots for me, she didn't find dirt on her friend but instead displayed more of her attributes untill a nigga had to do what he had to do for fear of being labeled gay. ;);). Those were the younger years!!
  It's an observation!! Na nafikiri ntafanya studies nije na facts kabisa.
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Sasa with your way of life tutaacha kuwaonya ndugu zetu, wewe ndio Kimeo
   
 10. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  N-handsome that was the past, hata wafungwa huachiwa baada ya makosa yao ni jamii kuamini kua wamekua rehabilitated ije kua a young man who had so much love in him and so it fit to share his love, hapinness and experience with others!!!???
  Kwanza isingekua AIDS and other diseases mimi nafkiri playersim is a sign of an intellignet and well balanced young adult. ILA NI KITU CHENYE WAKATI WAKE!!! Sio jibaba lizima au jimama jizima lina mwenzake wa ndoa halafu bado anaendekeza ufuska.
  Lakini for a young adult play on, just keep it SAFE!!!
   
 11. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,821
  Likes Received: 1,167
  Trophy Points: 280
  waafrika hasa wabongo tunao sana huu upuuzi wa kuharibiana sio siri,mi mwenyewe ni muathirika wa hii kitu,kuna kipindi nilikua na girlfriend wangu mmoja nimekaa naye 2 yrsbila matatizo,tatizo likaanza alipopata rafiki mbongo huko kazini kwake,kwanza huyo rafiki yake kaanza kutaka nimlale na yeye alipoona ameshindwa akaanza kuleta mambo yake tumfanyie dili huyo mama la biashara tumshushe bongo tumlambe,alipoona nimetoa nje vyote sasa ikawa tabu,maneno kila kukicha,mara alete habari nina mademu nje mara,sifai,mara nina watotoa farika yaani mradi kuharibu tu,ikawa sasa siaminiki tena kwa mpenzi wangu,namimi nilipoona ameshadestroy kiasi cha kutosha nikamwacha huyo mwanmamke nikatafuta gf mwingine,baada ya miaka kadhaa nikakutana nae kwenye paty yuko pamoja na yule x wangu,namimi niko na gf wangu huyo mwingine,yule mwanamke mbongo akanifata ananiambia nimekuletea mkeo!nikamwambia mimi huyo tushaachana kitambo nna mke mwingine,si amfate huyo gf wangu mpya amewambie mimi sina future nayeye namlamba tu kisha nitamuacha na kumwambia kwanza bado nina wanawake wengine kibao,na maneno mengine mengi ya umbea,sijui ungekua wewe ungefanyaje??ni kukaa mbali tu na hao raia wa kibongo ukiwasogelea ni sumu kali.
   
 12. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  no comment....very sad indeed na mungu haogopwi? i can see where u r coming from...
   
 13. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  labda una bad reputation ndo mana wamekuharibia ndoa/relationship yako... It doesnt have anything to do with the skin color... or may be the Africans dont take that shit... :confused:
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  wazungu ndo waongo kupita maelezi usinidanganye wewe jamaa
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  i was reading ur post till when u lost me with the B word ......

  inaoneysha wewe pia una hulka mbaya maana huoni tabu kuwatukana wenzio mbele ya kadamnasi ya JF
   
 16. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  well said!
  weusi tuna kasumba sana...
  anayekubishia msamehe bure labda hajapata nafasi ya kupata exposure ya culture ya watu wengine....
  ishi na watu wa matabaka mengine,you will understand your tabaka better!..that is the rule...!
   
 17. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  pole ndugu yangu, mi nimevutiwa zaidi na umbea kwenye mahusiano ya watu wengine...watu huwa huwa hawapendi wapenzi walioshikamana watatia umbea hata kwako; mara yule malaya,mwanamke yule mlevi........lo,pole sana mi mwenzio niko katikati nayo kwa sasa...ni sehemu ya maisha yetu kama kutafuta pesa, nimeshindwa kuukwepa.
   
 18. j

  jembe afrika JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2014
  Joined: Jan 15, 2014
  Messages: 7,108
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Ndoa ndoano...loading error...
   
 19. m

  mashoba Senior Member

  #19
  May 25, 2014
  Joined: May 8, 2014
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni kweli kabisa,especially ukiishi eneo ambalo standard ya maisha iko tofauti,KUNA KUZUSHIWA SANA MAMBO NA MAJUNGU.Mie kuna kijana wa kocha flan na mchezaj wa zamani,ni SHOGA sasa anawivu sana na mke wangu,na anatengeneza mambo kibao ya uongo afu anampiga madongo mke wangu.TABIA CHAFU SANA.
   
 20. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2014
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 81,521
  Likes Received: 81,738
  Trophy Points: 280
  nimegundua una tatizo kubwa, hata sisi tumevinjari ulimwengu hii kitu ipo popote, tena wao ni washenzi wa kutupwa kuliko hata hao waafrika unaowadis
   
Loading...