Nahitaji mpenzi wa kike wa kuendanae beach

J627204

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
265
225
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu mimi ni kijana wa kiume naomba mpenzi aliye hapa dar ani PM tuelekee beach tukapate upepo natanguliza Asante
 

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,882
2,000
Huna marafiki? Unausafiri? umeandaa shngapi?

Mmezidi kutujazia kero hapa
eti anasema nauli ya daladala ipo toka mbagara na kurudi!!mtu mwenyewe anaishi mbagara rangi 3 karibu na lilipovunjwa lile maskni ya dada poa!
 

jembe afrika

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,382
2,000
Jiran yangu kuna mbuzi vp nikupatie uende nae?kambuz kenyewe bado ka bikira..loading error...
 

Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,258
1,225
mpenzi wa kwenda nae beach???????mkitoka beach mapenzi kwishnei,si bora ungeomba rafiki wa kukusindikiza beach dah
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom