Natafuta rafiki wa kike mwalimu

sembela

Member
Aug 8, 2013
70
95
Jamani natafuta rafiki wa kike lakini awe mwalimu shule msingi au sec ambaye baadaye tuweze kuishi pamoja as a family...sifa: awe mkristo, umri kati ya 18 -23, kabila yeyote,mrefu kidogo asiye mnene awe anaishi Dar,Arusha au Moshi mim nina miaka 27.

Mrefu ni mwajiriwa serikalINI..aliye serious an pm.
 

Jean piaget

Senior Member
Mar 15, 2014
143
0
jaman natafuta rafik wa kike lakin awe mwalimu shule msingi au sec ambaye baadaye tuweze kuishi pamoja as a family...sifa: awe mkristo, umri kati ya 18 -23, kabila yyte,mrefu kidogo asiye mnene awe anaishi dar,arusha au moshi mim nina miaka 27.mrefu ni mwajiriwa serikaln..aliye serious an pm.

Swali: kwann umetaja mikoa mitatu na cyo mingine yote Tz? With vivid examples examine the importances of whom you intended (20 marks), walimu wakike mnaitwa huku
 

Nico1

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
796
250
Humu kuna visa mtu unaacha wadada unaowafaham kwa tabia na Sura leo unakuja kutafuta hum mtu ambaye ID yake tuu inazingua. Swali. langu 1)hv ikitokea ukampata bahati mbaya moyo wako usikubaliane naye je utamwambia'' No thank u''. au utakomaa naye kigumgumu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom