Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wale ambao wamepeana mimba bila kupanga na wakawa wanataka kwenda kuitoa ni wachache sana huwa wanatoa hiyo mimba pale wanapohitaji ila wengi huwa wanachelewa sana kupata hela. Kama ni...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
makazi yangu arusha umri 29yrs rangi kidogo mweuc kimo cha kati kazi okey kimaisha nimesha yanza ninanyumba ya kisasa natafuta wakujenga naye familia sifa awe mchamungu mweupe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nikuulize kwanini wakati nilipokutokea kukuomba unipende kutokana na usawishi ulionionyesha nami nikashawishika kukupenda,na nikakupenda kweli. nikakuomba kama ilivyo jadi mwanaume kumtongoza...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Sikumbuki hasa kilichotufikisha kwenye mjadala wa kujadili kuhusu mwanandoa mmoja kufariki,lakini ambacho nakijua ni kuwa kuna mgogoro mkubwa kwenye tulichokua tunakijadili.Mjadala wenyewe ni...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
wapendwa kila ninapoisikiliza hii nyimbo huwa inaniliza sana na kunitoa machpzi nahisi kama huyu Justin Bieber alinitungia mimi maana inaniguza kwa 90%... I started to live as single family with...
0 Reactions
47 Replies
22K Views
Tangu zamani nimekuwa nikijiuliza kwa nn mwanake analipiwa mahari??,nikagundua kuwa ni utamaduni ambao tumerithi toka kwa vizazi vilivopita.lakini nikajiuliza tena kwa nn utamaduni huu bado tunao...
3 Reactions
82 Replies
11K Views
Habarini za jioni wapendwa.Kuna wakati nilisoma kitabu kimoja ivi " ndoa yangu"Kilikua kinaeleza sababu ya ndoa nyingi kuvunjika au kutokua na amani.Mojawapo ya sababu ni kwamba kuna watu humu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Black and single: Is marriage really for white people? CNN's Dionne Hill is optimistic she'll marry, even though 45 percent of black women have never married. 1 of 2 A career she...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni kali kuliko ile kasumba ya ndugu zangu wa kizenji walioko majuu kuoa kwa mkanda wa video au kwa kumtuma mshkaji!..... "I do" as Muslim couple marry by telephone An Indian Muslim...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu kipingi cha nyuma, na tulifikia kuamua kufunga ndoa na nilikuwa katika mipango ya kupeleka posa ila tuliachana kwa sababu fulani fulani, nilijaribu kuurudisha uhusianai...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Just because someone is listening to me, I don't assume that they got the communication that I sent. Neither should you. So after I say something, I have created the habit of asking my listener...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
[samahani!]
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wana Jambo nilikuwa ktk pitapita huko BBCworld nimekutana nukta 2 ambazo zimetokea huko ITALIA....tunaweza yajadili haya ktk hali ya hapa nyumbani..inawekana haipo..lkn may be ikaja hapo baadae...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani wanajf,hili jukwaa nimekuwa addicted nalo kupita kiasi. Sina tofauti na wale watumia madawa ya kulevya kama bangi. Ninaweza kulala bila kuongea na gf lakini sio kuchek jf na hasa MMU. Je...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba...
1 Reactions
103 Replies
10K Views
Me ni mwanafunzi najianda kwenda chuo yani 1st yr..nina mpenzi wangu nampenda sana na natarajia kufunga nae ndoa hapo baadae! Ila kwa sasa mwenza wangu anamatatizo kwenye familia yake na me ndo...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Ni kweli kwamba tunatakiwa kujitolea ili kujenga uhusiano imara na wenzi wetu. Tunaambiwa kwamba ili mapenzi yawe imara na yadumu inatupasa tusichoke kutoa, lakini kutoa huku kusiwe kwa upande...
10 Reactions
49 Replies
14K Views
Wakati nachangia thread ya gfsonwin ,ya kuhusu wanawake wa Kiafrika kua na aibu kunako 6*6,kuna jambo nililigundua.Kuna suala la siku ya kwanza ya kukutana kimwili na mpenzi mpya.Mara nyingi siku...
6 Reactions
103 Replies
9K Views
Asalam aleikuum wana jamvi. Mwezi wa toba ndo huu umefika na kwa rehema zake Allah yatupasa kufanya toba hii kwa dhati kabisa ili tuweze kujiosha na kusafishika dhidi ya madhambi yetu tuliyofanya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…