Habari za mda huu wanaJF, ni matumaini yangu mu wazima. Natumai ni usiku tulivu kwenu hasa kwa wale wapendanao mliopo pamoja mda huu hata mliotenganishwa na umbali tu!! Wote ni wapenzi na mapenzi...
Habari ya asubuhi waungwana!! Wa safu hii ya maloveee hope mmeamka salama!!
Asubuhi ya leo naomba tuongee kitu kuhusu mahusiano yetu hasa mnaoishi kwenye ndoa haijalishi ni kwa mda gani au level...
It may sound strange but this has been my major wish for a while,
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko. Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga...
Habari zenu wana jf,
Ni siku nyingine ya mapumziko tumshukuru Mungu kwa kutujaalia afya njema na kwa wenzetu wanaosumbuliwa na maradhi Mungu awajaalie mpone.
Ni mkasa wa kweli na hapa nilipo...
A worried woman went to her gynecologist and said:
'Doctor, I have a serious problem and desperately need your help! My baby is not even 1 year old and I'm pregnant again. I don't want kids so...
Huna sababu ya kumhofia kama hajakupa sababu ya kufanya hivyo ........
Ukiwa na hofu kama hajakupa sababu ya wewe kuwa na hofu hiyo juu yake basi una tatizo kubwa la kutokujiamini
Kwanini...
It is known that rising through the ranks of any job requires patience, commitment and hard work. But for some, there is a detour – a shortcut to getting to the higher echelons of a job...
Jambo JF?
Chukulia wewe ni mtumishi katika taasisi moja kubwa, uliajiriwa ukiwa na diploma miaka kadhaa iliyopita but ukajiendeleza kielimu ila ukasoma kitu kingine nje ya taaluma ile...
Nilikuwa kwenye mahusiano kwa miaka 2, kweli nampenda sana japo yeye siku zote alikuwa ananiambia kuwa ananiona simpendi . Sasa hayuko tayari tena na mimi na zaidi nina ujauzito hata sijui...
Natumai ni wazima wote popote mlipo.
Bila kuwachosha nikwamba'
Ni muda wa mwaka mmoja tangu niachane naye.
Nilikuwa na dada mmoja ambaye alikuwa ni mpenzi wangu.
Kwa kipindi chote hicho...
Nina mpenzi tumeanza tangu o level lakini hakutaka kungonoka mpaka tumalize chuo..!!Tupo o level hapo...!!! Kazi kwelikweli.....
Mwanaume nikajikaza nikakubali sawa mama... bahati mbaya akafeli...
Wewe kaka umewahi kukutana na dada wa namna hii?
Wewe dada una tabia hizi?
Huku dada akijua kabisa kuwa mwanaume huyu sio baba yake, sio kaka yake, sio mjomba wake wala sio ndugu yake kwa...
Ukiingia humu kama wewe ni mgeni unashindwa kutofautisha nani mtoto nani mwanaume nani mwanamke maana wanaume wanashadadia mambo ya kike sana na tungekuwa tunaonana mngekuwa mnasutwa kila siku...
What's happened in your past is not nearly as important as what is in your future. Where you're going is much more significant than where you've been. But if you stay focused on the past, you'll...
Lazima mkubali kuwa mimi ni mteja kwenu na ninyi ni watoa huduma kwangu, hivyo baada ya malipo yote... nina haki ya kutumia nyumba yako vile nitakavyo ilimrad sisababishi uharibifu wa mali zako...
Jinsi zetu ni mbili za kike na za kiume na kila jinsia ina mgawanyo wa kazi zake pamoja nafasi yake katika jamii. Kila mtu huthaminika kutokana na jinsia yake. Imekuwa ni jambo la kawaida kabisa...
Wadau hii imekaaje kwa wale wapenda michepuko, unanyumba unaishi na familia yako then labda wanasafiri una mpeleka kimada wako na una lala nae na kufanya mapenzi kwenye kitanda kile kile...
mi binafsi najivunia kuwa me ,baba wa watoto,baba wa familia,mchapakazi,kutetea maslahi ya familia na kuwapa support jamii na watoto wangu hata wa watanzania wengine i love been a man
wewe je??
Habari wakuu,
Ni miezi zaidi ya mitano tangu niachwe, nimeumia hadi nimekuwa sugu, kinachonileta kwenu ni hiki, wiki moja baada ya kuachwa kabla hatujaenda kwenye research my x alinambia eti...
Mambo wakuu
Leo nmekuja kiutu uzima coz wanasema mie cjui utoto vikapanda vikashuka
Ni hivi?kuna baba mmoja huu ni kama mwezi wa nne sasa kiukweli anaonesha ananijali sana,na kwa vitendo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.