Leseni Ya Kuongopa Ndani Ya Ndoa Na Mwanamke Mwenye Jinsi Habakwi!!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,745
7,760
Wadau mbona umpo kimya juu ya Hili?

bado nalitafakari hilo la "KUONGOPA BILA KUKUSUDIA!" kwa wanawake wa kiitaliani (tu)!

ama hilo la mwanamke mwenye 'dingirizi' habakwi mnh!?... naona jaji kapotea njia tu huyo... Kubakwa ni kubakwa tu, ama umevua 'dingirizi' kwa hiari ili ubakwe au la!

asijewatia watu vishawishi vya ' "KUBAKA" BILA KUKUSUDIA' bure kwa kujitetea na hilo!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom