Habari za saa hizi wanajukwaa wa MMU,
Hivi kuna uwezekano mwanaume mwenye umri ulozidi miaka 30 awe hajawahi kupenda?Kwa uelewa wangu hata yale mapenzi ya utotoni ni mapenzi pia ijapokuwa...
Habarini mabest
Awali ya yote namshukuru Mungu kuniweka hadi hii leo , navuta hewa safi, niko ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kuiona siku hii wako wengine hawajaiona sembuse mm ambaye Mungu...
Shost mmoja anabwanaake ana miaka nae saba kwenye mahusiano, cha ajabu kila akiingizia habari za kuoana uyo mwanaume anachenga kibaya zaid mwanaume yupo mkoa mwingne na mwanamke yupo mkoa mwingne...
Mara hii nakuja na swali kwa dada zangu mnisaidie:- hivi huwa mnajisikiaje pale ambapo mpenzi/mumeo wako anapokuwa anakusifia sana kila wakati au kila siku na hata mara mbili au zaidi...
Nina miaka 28, mrefu kiasi, mkristo, mweupe kiasi, mjasiliamali, naishi mkuranga, elimu form six. Naemtafuta awe maeneo ya dar na pwani, namba yangu ni
0719450426.
Salam aleykum wanajamvi.
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu ya kujiingizia kipato. Juzi nikiwa ofisini nilifuatwa na shemeji yangu ambaye ameolewa na mdogo wangu wiki...
Wana JF
Wanaume asilimia 90 hupenda Mara moja tu yaliyobaki nimazoea au hawataki kujionyesha kuwa wanaendekeza kupenda na kutamani kila Mara, kuhakikisha kuwa nikweli , mwanaume kuwa naye kila...
Mimi ni msichana mwenye umr wa miaka 28 nilikutana na mkaka fulan miaka miwili hiv iliyopita,, tukawa tumeingia ktk mahusiano but at that tym yule mkaka alikua amedivorce na wife wke ambae...
I share mine!
In 2011 I quit University when I was in my junior year. I did so because of reasons I couldnt control. I felt very bad about what happened and I spent most of my time asking...
Umeishi nyumbani kwenu kwa miaka lukuki, yaani ukiwa na miaka 32 nd'o ukaondoka nyumbani, sio kwamba ukaanza kujitegemea hapana ukaajiriwa na mjomba ukawa unaishi kwake.
Mama nyumbani akapumua...
Mods naomba msiunganishe uzi huu na wa mkuu Eiyer.
Mwanaume ametoka kwenye familia masikini na mwanamke vilevile, mwanaume ameangaika akajenga nyumba kubwa tu, akafungua vitega uchumi na magari...
MBUNGE wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF) amesema wanawake wameadhibiwa na Mungu katika maandiko matakatifu na kuhoji hawaoni kuwa harakati zao za kudai haki sawa, ikiwemo uwakilishi wa asilimia 50...
Jamaa yangu huyu ni mtundu sana toka tunasoma sekondari. Juzi hapa amezua balaa nyumbani kwake na hana amani hadi leo hivi. Kisa chenyewe ni hivi: Jamaa yangu anaishi nyumba ya kupanga, self...
wapendwa nepatashefa kutoka nchi za jirani ana malove makubwa na anataka tuwepamoja ilaana watoto ambao amezaa na wanawake tofauti na wa mwisho wame devorce though huwa anawapeleka watu kwa huyo...
mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
Jpili shwari wadau?Wataalaamu wanatuambia ukicheka au hata ukitabasamu kidogo tu kwa siku inasaidia kuongeza uhai....Hivyo nimeonelea wadau wezangu niwape kadozi kadogo kaa hii dawa ili nawe...
Kuna jamaa kaniambia sio mazoea mazuri kuwa na passwords katika simu ya mkononi,kaniachia hapo!nijuavyo mimi kila mtu ana faragha yake kwa hivo ni muhimu kuwa na password.
Ama hakika kupenda ni jambo ambalo huleta msukumo za hisia fulani ndani ya moyo wa mtu.
Leo asubuhi katika pitapita zangu nilikutana na wakinadada wawili mmoja akaniambia umependeza sana, sikuweza...
Katika mambo ambayo Mwanaume kajaaliwa ni vile kuwa na uwezo wa kumshawishi mwanamke hadi akakubali kusaula kila alicho kivaa na kubaki mtupu!hata kama msichana ana aibu au ana cheo kikubwaaa...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooo!
Free P nao mda mwingine wanakuwa keroooo mno mno sehemu za starehe! Jana kuna shosti wangu mke wa mtu kanialika tuyasindikize ya dunia maana leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.