Akina dada hii siku hizi ni fasheni au?!

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!! yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!! sa sijui ndio fasheni au?! ........
MP.
 
Sasa km ana mahitaji huko Kariakoo asiende sbb ana mimba?

Mimba si ugonjwa, so km huna complications zozote, mwanamke anaweza fanya shughuli zake hadi siku anasikia uchungu.
 
Zamani gani hizo mkuu Maprosoo? Tangu utotoni hadi umri wangu huu wa mtu mzima dunia haijasimama, akina mama naona wanabeba mimba kama kawa.
 
kwq hiyo akiwa na mimba asizunguke? Kwani mimba ugonjwa? au hujui kutembea ni moja la zoezi kwa wajawazito? Na zamani unayozungumzia ni zamani ipi?
 
Hapa sasa ni kuingilia uhuru wa wenzenu, mnataka muwapangie hadi ratiba za kubeba ujauzito au??

Mbona zamani tulikua hatuwaoni mitaani wakipuyanga.
MP.
 
Cku hizi wanaume wanawakimbia wanawake mara baada ya kuundua kuwa `wamewamimba`So lazima akinadada wazunguke kutafuta riziki ndo maana wanaonekana sana mitaani
 
Umekuwa lini wewe? Ebu kaangalie mpira huko Messi kapachika goli la pili!

kumbe na wewe unaangalia!! leo atawafunga hata 4. hao dawa yao wakutane na wale waingereza wa bluu
MP.
 
mmmh maprosoo unavyowaona kariakoo wanapuyanga ni kwa ajili ya kujiandaa na maandalizi ya kujifungua kwani siku hizi watu kila kitu wanajitafutia wenyewe hadi glovu na viwembe zaman mambo yote yalikuwa bure na wkunga walikuwa wakizalishia home sa ma mjamzito atatafuta nini kariakoo?
 
zamani ilikua vigumu sana kumuona mwanamke mwenye mimba,
...Ilikuwa vigumu kwakuwa ulikuwa mdogo na haukuwa unatembea sana, nadhani zaidi ya kwenda shule na weekend fulani fulani kutoka na wazazi.
ila siku hizi naona kama wanafanya mashindano hivi?!!
...Siku hizi Dar au miji yote mikubwa ina watu kama mara nne hadi tano ya wale wa "zamani", hivyo ni lazima utaona tafauti.
yaani kila siku lazima niwaone zaidi ya watano,unakuta mwanamke anayo mimba kuuuuuuubwa anazunguka nayo kariakoo!!
...Zamani, Kariakoo watu walikuwa wanapishana kwa kujinafasi, siku hizi hata ukiibiwa hutagundua mapema. Sababu ni ile ile, watu wamekuwa wengi zaidi na hivyo probability ya kukutana na wenye mimba nayo inaongezeka.
sa sijui ndio fasheni au?! ........
...Sio fashion. Kuna ongezeko kubwa la vijana wanaofunga ndoa [rasmi na zisizo rasmi] na hata mambo ya mila na desturi hayako "tight", hivyo vijana hubeba mimba bila hofu wala vipingamizi vingi. Kwa ufupi, kubeba mimba sio deal sana siku hizi.
 
mmmh maprosoo unavyowaona kariakoo wanapuyanga ni kwa ajili ya kujiandaa na maandalizi ya kujifungua kwani siku hizi watu kila kitu wanajitafutia wenyewe hadi glovu na viwembe zaman mambo yote yalikuwa bure na wkunga walikuwa wakizalishia home sa ma mjamzito atatafuta nini kariakoo?
...Sawia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom