Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,852
Reaction score
35,620
Asalam aleikuum wana jamvi.
Mwezi wa toba ndo huu umefika na kwa rehema zake Allah yatupasa kufanya toba hii kwa dhati kabisa ili tuweze kujiosha na kusafishika dhidi ya madhambi yetu tuliyofanya na hii ili tuweze kutimiza maamrisho yake mwenyezi mungu, kwa wale walio wazima na waliojaaliwa uwezo tujitahidi walau kuwafuturisha waislam na wasokua waisla.
Asanteni sana na karibuni kwa funga lakini tuzidi kudumisha upendo kwa marafiki na maadui zetu.
 
Waleykum salaam
asante kwa taarifa nawe maandalizi mema Arovera
 
Ramadhani kareeem kwako mkorokigoli,halati88 na wengine wooooote.
 
watu hapa hujichumia dhambi kwa dhana kua nguruwe ikifika mwezi huu haliwi kwakua sisi waislam tupo kwenye funga wakiwa na maana kua waislam ndo wala nguruwe.hii nidhambi kubwa kimsingi mnyama huyu ni haram kumla na sikwa waislam pekee bali hakuna dini iliyoruhusu ngurue kuliwa?mwezi huu nguruwe atadoda kwakua hata asiekua muislam anaugopa.nakama yupo anayejiita muislam alafu anakula ngurue huyu hatafunga nakama yupo asijihesabie kua ni muislam?uislam ni unyenyekevu kwamuumba ramadhani njema tujitahd kutekeleza ibada
 
  • Thanks
Reactions: viz

uko sawa kabisa.
 
Kwa wote watakaojaliwa kufunga huu mwezi mtukufu nawatakia Ramadhan Kareem.
 
samahanini waislam wenzangu, hivi mwezi ushaandama?
 
Mwezi umeonekana Yemen na kwenye maeneo ya Isiyolo na anahojiwa mtu Radio iman Tz, na Kenya sheikh aliyeona anaitwa Sheikh Abdulazizi, ni mdiri wa madrasa ya al salah, na mwingine ni Abdullah Is-haka, 0720255517, na Abdullahi karam, 0721763704, hawa ni wa Kenya masjid kambi garva, Salat 0702085623 unaweza ongea na hawa waliouona maeneo ya Isiyolo. Morogoro tarawehe inaswaliwa hivi sasa Masjid Haqi.

Ramadhan Kareem.
 
Asante kwa taarifa huku kwetu ndio kwanza mchana. .Ramadhani kareem
 
Mamlaka ya Yemen imetangaza kuuona mwezi na kuanza kufunga on Suturday 28 June 2014. Aidha; some parts of US,BELGIUM,RUSSIA,ITALY,LEBANON na TURKEY Ramadhan ya 1 itaanza Suturday 28 June.

Nchi kama SAUDI ARABIA,EGYPT,JAPAN,MALAYSIA,UAE,JORDAN,PALESTINE,INDONESIA,SOUTH KOREA na KUWAIT mamlaka husika zimetangaza kuanza kufunga siku ya Jumapili 29 June 2014.

SOURCES: (1) Radio Imaan
(2) Global - News - OnIslam.net
 
watu hapa hujichumia dhambi kwa dhana kua nguruwe ikifika mwezi huu haliwi kwakua sisi waislam tupo kwenye funga wakiwa na maana kua waislam ndo wala nguruwe.hii nidhambi kubwa kimsingi mnyama huyu ni haram kumla na sikwa waislam pekee bali hakuna dini iliyoruhusu ngurue kuliwa?mwezi huu nguruwe atadoda kwakua hata asiekua muislam anaugopa.nakama yupo anayejiita muislam alafu anakula ngurue huyu hatafunga nakama yupo asijihesabie kua ni muislam?uislam ni unyenyekevu kwamuumba ramadhani njema tujitahd kutekeleza ibada

huhuhuuuu! tupe andiko tupunguze maelezo!

Mfungo mwema incase ukifunga! huhuhuuuu!
 
Back
Top Bottom