Nyimbo hii huwa inanitoa machozi kila wakati ninapoisikiliza

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,738
2,090wapendwa kila ninapoisikiliza hii nyimbo huwa inaniliza sana na kunitoa machpzi nahisi kama huyu Justin Bieber alinitungia mimi maana inaniguza kwa 90%... I started to live as single family with mamy when i was 8 yrs
 
Last edited by a moderator:

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,636
binafs kuna nyimbo 2 ambazo nikizisikiliza tu lazma nijikute machozi yaninitiririka 1. Ulivyoagiza kabla ya kufa - (Roman Catholic) hii inanikubusha sn wakat wa msiba wa marehem baba yangualiyekufa nikiwa na 7yrs na dkk 2 kabla hajafa aliniita na kunihusia. 2. A Song for mama-BOYS 2 MEN.
 

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
22,786
41,276
lola tumekupa the boss akufute machozi.tunamwamin na ni kijana mstaarabu.hakika atakufuta machozi.bila shaka hata wewe umefurahi kumpata.makofi tafadhali.mia
 

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,974
1,640
Jamani hizi thread za huzuni inakuwaje asubuhi asubuhi hii! Wengine mahuzuni yetu yapo karibu sana, acheni kutuharibia siku jamani, muwe mnaleta kamba za mtindo huu jioni au usiku mtu unajua ikitokea unaenda zako kulala. Ona sasa mmeshanikatya stimu wakuu.

Aaagh! naondoka zangu mie mmeshanikumbusha jambo la huzuni kubwa sana. Sio fresh mazeee!
 

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
48,615
67,848
hhhahahaaaaa Mpwa bhana, umeshindwa kuvumilia eeeh, yaani mie ndio wameiharibu yangu kabisa maana hadi leo hii sina salary, so shida zinazidi kukumbusha mengi, tatizo la kuishi kwa kutegemea salary za serikali
Wakuu mmeniharibia siku yangu, kwaherini!
 

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,738
2,090
pole sana

binafs kuna nyimbo 2 ambazo nikizisikiliza tu lazma nijikute machozi yaninitiririka 1. Ulivyoagiza kabla ya kufa - (Roman Catholic) hii inanikubusha sn wakat wa msiba wa marehem baba yangualiyekufa nikiwa na 7yrs na dkk 2 kabla hajafa aliniita na kunihusia. 2. A Song for mama-BOYS 2 MEN.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom