Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 13,107
- 38,724
nikuulize kwanini wakati nilipokutokea kukuomba unipende kutokana na usawishi ulionionyesha nami nikashawishika kukupenda,na nikakupenda kweli. nikakuomba kama ilivyo jadi mwanaume kumtongoza mwanamke.tukakubaliana kwa ridhaa yako na yangu tukakubaliana kuanzisha maisha,ukatoka kwenu ukaja kwangu tukakubaliana lako langu,langu lako. kumbuka jinsi nilivyoangakia maisha yako kufa na kupona,kumbuka ulivyoumwa nikajitoa kwa hali na mali ili upone na ukapona,kumbuka nilivyoshinda na njaa ili wewe ule,kumbuka wazazi wako walivyonitukana na kunidharau kwaajili yako nikavumilia. swali, ulimpata mwanaume mwingine sawa, ukaniona sifai sawa, ukataka kuniacha sawa,kwa kisingizio wazazi wangu hawakupendi sawa,lakin mbona hatukuafikia kama mwanzo tulivyopendana kuwa tuachane? mbona mi sikuridhia? japo mwaka umesha nateseka sana nawe kwenye ndondo. LAKINI..,