Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Kwa wale ambao wamepeana mimba bila kupanga na wakawa wanataka kwenda kuitoa ni wachache sana huwa wanatoa hiyo mimba pale wanapohitaji ila wengi huwa wanachelewa sana kupata hela.
Kama ni mwanafunzi: utakuta kipindi hicho wazazi wako hawakutumii hela ya matumizi wanasema mambo yao hayapo sawa kuna matatizo yalijitokeza hivyo hela zote wamezitumia, we usubiri subiri kidogo.
Kama ni mfanyakazi: Utakuta mshahara umechelewa kutoka na hauna hata sh. kumi kwenye account.
Mwanachuo: Utakuta boom lilishaisha muda mrefu na umefulia vibaya.
Marafiki: Watakwambia hawana kitu hivyo hawawezi kukukopa.
Matokeo 1: Mtu anauza laptop ya milioni moja kwa laki tatu au mbili, simu ya laki nne kwa elfu themanini au kuuza nguo, fridge au chochote alichonacho akamilishe adhima yake.
Matokeo 2: Kufariki kwa mwanamke atakapokuwa anatoa mimba kwani wanakuwa wamechelewa kutoa hivyo mimba inakuwa kubwa.
UTASIKIA amefariki alipokuwa anatoa mimba ilikuwa mimba ya miezi 6 na watu wanahoji "walikuwa wapi siku zote kutoa mimba mpaka wamesubiri imekuwa kubwa hivyo?" Lakini ukweli ni kwamba ukitaka kutoa mimba vyanzo vyako vyote vya mapato lazima vigome.
MUONE HURUMA MWANAO, USITOE MIMBA.