"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Pafomansi" ya siku ya kwanza . . . . . . !!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, Sep 8, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Wakati nachangia thread ya gfsonwin ,ya kuhusu wanawake wa Kiafrika kua na aibu kunako 6*6,kuna jambo nililigundua.Kuna suala la siku ya kwanza ya kukutana kimwili na mpenzi mpya.Mara nyingi siku hii huwa sio nzuri kwa sababu ya "tension" na "ugeni" kila mmoja kwa mwenzake.Ni vyema wapenzi wapya wasiamue uhodari,uzembe na hata usafi wa wapenzi wao wapya kwa mujibu wa siku hii.Kuna watu huamua kusafisha miili yao au mahali wanapoishi kwa kuwa wanakutana na wapenzi wapya kumbe wakizoeana hurudia hali zao za zamani.Suala la uhodari na aibu during sex nalo huathiriwa na siku ya kwanza.Mtu anaweza kuwa na aibu kwa kuwa hajakuzoea au akawa hodari kwa kuwa wewe ni mpya.So ni vyema ukampima mtu angalau kwa gem kuanzia 4 na kuendelea . . . . .!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  na sisi tulio mabikra tena..taabu kweli kweli!
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  hahaha! Smile bado hujaji commit? sababu hupendi au sababu bado wanaume kamili hujaona? Kila la kheri na u single wako.. Hongera sana.
   
 4. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Kumpima uhodari au aibu??
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Huishi vituko wewe . . . . . . .!!
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hawajaniona bwana
   
 7. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Is gud to see u here.Gud mrng sister!!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Rudia kusoma thread upya utapata jibu!
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Mpaka uonwe?Wewe huwaoni?
   
 10. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Kwa hio avatar? Haiwezekani bana hali umeonesha uhalisia kabisa... Siamini. Nahisi tu vigezo vako vigumu sana.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ngoja nivumbue 'sikuyakwanzameter' SI unit itakuwa Vibrations/aibu.
   
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Bora umeni wakilisha nilikuwa sina pakuanzia bora watushauri!

   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimekujibu angalia thread yangu ya sasa hivi usinichape lakini
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,050
  Likes Received: 23,825
  Trophy Points: 280
  Wengine siku ya kwanza ndo tunaonyeshaga kalufundi kumbe wengine siku ya kwanza ndo wanaoneana hauya. Khaa!!
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Inakuwaje kwamba mara nyingi waathirika wakubwa wa hii tension ya siku ya kwanza wanakuwa wanawake. Inawezekana ni kutoajiamini? na kwanini wao ndio wanakuwa katika kiwango cha juu cha kukosa confidence?
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hata wanamme huwa wanayo
  sema tu ile kujifanya 'am a man' ndio huwabeba.

  Afu kwa asili wanawake huanza kuwa na aibu wanapobalehe.

   
 18. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Kiasili mwanamke ameumbwa na aibu!
   
 19. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mie nilikuwa nalaza kiporo cha ubwabwa na maharage mezani na shuka hazifuliwi wiki nzima ili kumpima msichana wa siku kwanza... akimudu kuvumilia uchafu wangu, najua huyo tutawezana, na hapo baadae narudia hali yangu ya unadhifu kama kawaida, wengi walikuwa ananishangaa......
   
 20. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kwanini wasichana wengi huvaa chupi nyeupi siku ya GAMU?
   
Loading...