Nisaidieni wana jf ushauri tu! mungu atawabariki sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nisaidieni wana jf ushauri tu! mungu atawabariki sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bungbung, Sep 10, 2012.

 1. b

  bungbung Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me ni mwanafunzi najianda kwenda chuo yani 1st yr..nina mpenzi wangu nampenda sana na natarajia kufunga nae ndoa hapo baadae! Ila kwa sasa mwenza wangu anamatatizo kwenye familia yake na me ndo msaada mkubwa uliobaki kwake..katika kujaribu kuyatatua hayo tumefanikiwa kumuweka mama sawa ila baba hatakikuelewa hivyo kutokana na komuhofia baba mchumba wangu amegoma kurudi nyumbani na aniomba wakati nikiwa chuo with my own room aje tuishi nae uku akijiendeleza na kazi za fani yake(hotel management)...je nitakuwa sahihi nikikubali ombi lake?
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  unajiandaa kwenda 1st year,tht means umefanya mitihani ya kidato cha sita mwezi feb mwaka huu?au?
   
 3. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  What's ur finantial position?
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Halafu akisha jiendeleza na kuolewa na mtu mwingine
  usije hapa na thread nyingine
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  1.unajua majukumu ya kuishi na mwanamke?
  2.unajua wazazi wako wanaamini allowance wanazokupa ni kwa ajili ya matumizi yako?
  3.unajua umuhimu wa shule na ugumu wake?
  4.unafahamu matokeo ya kuishi na huyo binti ni pamoja na kupata watoto?
  5.umejiandaaje kuwa baba/mume/mwanachuo/kibarua mahali?
  6.unafahamu kwanini huyo mzazi wa kiume amekataa wazo lenu?
  7.unafahamu kuwa inawezekana kabisa unatumika bila kujijua manake sioni uhalisia wa mama kumweka sawa?
   
 6. b

  bungbung Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap feb mwaka huu
   
 7. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  bwana we hawa watoto tunazaa siku hizi hawa!wenyewe tuko busy hapa tunafanya transalation ya maandiko ya watu hapa mpaka usiku wa manane angalau wakisoma wawe na kila kitu wenyewe wamepose rum sa hizi wanapost haya mavitu humu!inawezekana tunawapa nyingi sana hawa!mpka anajiona ye ndo mtatua matatizo,aliponiacha hoi ni pale anasema mwenza wangu!
   
 8. b

  bungbung Member

  #8
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  moderate
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280

  Anataka kujifanya 'ana uwezo wa kutunza mke'
  wakati yeye mwenyewe anatunzwa na wazazi wake
  na huyo mwanamke si ajabu akaja kuolewa na mwanaume mwingine
  na anakuja hapa tumshauri....ha ha haa
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mwanangu!nisikilize mimi ni kama mama yako na bahati nzuri ni mwalimu pia!achana na mawazo ya kuhudumia mtu sasa hivi.ur too young kujipa hayo majukumu sasa hivi sawa?ni sahihi kuwa na hisia kwa msichana since mwili upoa kwwnye hiyo hatua lakini ambacho si sahihi ni hicho unataka kufanya!mwache atatue matatizo yeye na familia yake,wewe la kufanya ni kukzana na shule ili baadae kama kweli Mungu amewaweka uhai na imani atakuja tu kuwa mkeo!jipe muda wa kukua na hayo majukumu ya baba zako waachie wenyewe!utafika muda yatakuja tu wala hayaombwi hayo,sawa mwanangu!mwombe sana Mungu akuongoze!
   
 11. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #11
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sikushauri kwa sasa kuishi chumba kimoja..
  Kama vipi mgawane boom na umpe mwenzio akapange chumba chake..
  By the way mnakimbilia wapi?...sasa kama umemaliza form six February!..leo hii tayari ushataka kubeba majukumu?
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Dogo dogo angalia sana usifanye utumbo huo!!! Shule ngumu maliza shule tafuta kazi ndio ufanye hayo mambo.
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  moderate my foot!pesa ya babako ndo unasema financial position yako ni moderate?
   
 14. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #14
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  mi nakushauri upige kitabu tu.. wanawake wako mara mbili yetu!
   
 15. b

  bungbung Member

  #15
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijasema na uwezo na wala sijaliamua hilo icpokuwa nilitaka ushauri na sio kuniponda note sijaamua kulifanya hilo kabla ya ushaur ya wana jf
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi nakwambia tuna kazi na hawa vijana pacha acha tu!upo ?ur missed here
   
 17. b

  bungbung Member

  #17
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanks a lot
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  wewe!hakuna anyekuponda hapa!tunakukemea na kusikitishwa na unayowaza!katika wanaokushauri hakuna hata mmoja unayelingana nae kiasi cha kutumia msamiati wa kuponda kurelejelea tunayoyapost hapa ,yani babako na mamako wanakukanya unasema tunakuponda?
   
 19. b

  bungbung Member

  #19
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana
   
 20. peri

  peri JF-Expert Member

  #20
  Sep 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  hili ni jibu tosha.
  Kuwa makini kijana, utajitia ktk matatizo makubwa na mwisho chuo uache.
  Binti Awe mvumilivu kwa wazazi wake, jiulize siku hali yako ikiwa mbaya kifedha au ukafukuzwa chuo huyo binti atakuvumilia au atatafuta pengine pa kupata hifadhi.
   
Loading...