Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

My bf alinipia simu wakati nipo kazini nilikuwa nimetingwa na kazi nikashindwa kujibu simu yake cha ajabu nilipotoka job nampigia apoke u know what anasema nisimsumbue mpaka anitafute mwenyewe...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Binti alikuwa katika mahusiano ya kimapenzi na mme wa mtu, penzi limenoga kiasi cha kila mmoja wao kufahamu mambo ya mwenzake kiundani, mke wa jamaa akafahamu mchezo akampandia yule dada, dada wa...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
1. Lack of quality time. According to the study, all four women expressed a desire to spend more time with their husbands but were often denied, making them feel like a second or third...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inafika mahali unaona mapenzi hayana maana tena! Umewekeza kwa mwenza wako with all trust love and caring halafu without warning you see it front of you USALITI, kumbe she/he never meant Love...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wataalamu wa tabia na mienendo ya binadamu wanasema, kuna Makundi kadhaa ya haiba. Wana maana kwamba, binadamu wamegawanyika katika Makundi kitabia. Je, wewe uko kwenye kundi lipi? Hiki ndicho...
16 Reactions
100 Replies
12K Views
Ni alasiri ya Ijumaa, mmeshindaje wanawema wa JF? Angalia haya ili umtambue rafiki wa kweli: uaminifu - Uaminifu ni sifa ambayo ni lazima ionekane kwa mtu unaeamini km rfk yako. Huyu anakuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nahitaji mwanamke aliyepo Singida mweny e miaka 20-30. Mimi ni mwanaume miaka 36. Aliye tayari aniPM. Please!
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Jamani ninatukanwa matusi mfululizo tangia wiki 3 zilizopita,aisee hata kama matusi mengine utayapuuza lakini haya yamezidi,ni kati ya mmoja wa ma x wangu huyu hataki kukubali kuwa mm si wake tena...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari ya usiku huu wakuu, Nimekuwa nikisikia maneno haya inapotokea kijana ametangulia mbele ya haki akiwa hajaoa wala kuzaa utasikia 'Maskini bora hata angekuwa ameoa/ana mtoto'. Hivi hii...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari zenu! Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na...
8 Reactions
34 Replies
17K Views
Wananipenda wakati nikiwa mzima nikiugua kidogo huanza kutoweka. Wananipendea uzuri wa sura na sauti yangu hawajui naweza kupata ajali nikapoteza reception hiyo na sauti ikawa ya kukoroma...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
1: Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa, sijui ni nani alyewaambia kuwa mkivaa hivyo vichup vyeu mnapendeza!!! 2. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni kama mwali wa kimakonde au kizalamo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Share hii article na shemeji yetu na uachane na vicheche...:) vitakugusisha mawayawaya halafu iwe tabu tupu. Keep the spark in your sex life If you'd rather be stuffing dirty laundry into the...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wajameni mambo yanabadilika kila kukicha Technologia ya uvaaji nguo inakua kwa kasi sana siku hizi duniani, ukijaribu kuangalia miaka ya 70, 80,90 na sasa naamini utakubaliana na mimi kuwa ndani...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Nahitaji Marafiki wa kubadilishana mawazo, idea na challenge katika maisha wawe wacheshi tafadhari karibuni PM
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini mara nyingi mtu unapotokea kumpenda mtu ndio unakuta hana muda na wewe hataa ama ndo anakujibu dry kisooo ila sasa inapotokea mtu hata humuwazi wala huna muda nae ndio anakugaanda...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Kumekuwepo mahotel mengi yanajenjwa kila kukicha walengwa wakiwa wageni, lakini kumekuwa tofauti wenyeji ndio wanakuwa wageni, eti mtu anatoka kinondoni manyanya anakwenda magomeni mapipa. Mgeni...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii ni story ya kweli inanima sana kwakweli, iko hivi mimi miaka kadhaa uko nyuma nilikuwa na kaka mkubwa wa hiyari nchi fulani hivi akanifanyia mishe za documentation to grant my viza. then...
1 Reactions
72 Replies
8K Views
Habarini za usiku wapenzi!! Poleni na majukumu ya siku nzima na shughuli za hapa na pale!! Ni mimi mtoto yenu Momfay mke ya mfalme wangu Arovera !!. nikijiandaa kuwaletea chombezo la mda huu...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
bible inaniambia nenden mkaijaze dunia na kuitiisha sasa....swala la ndoa lmetoka wapi na Adam kwan alifungishwa ndoa.?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom