Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna huyu dem, nilikuwa nimempitisha kwenye pepa ya Mock so nikataka nimpromote awe wangu wa milele. Lakin ninavyomuona ni kama amenifanya wa akiba, So niko njia panda kwamba nami nimfanye wa...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habarichiiii Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na...
11 Reactions
203 Replies
15K Views
Ukitaka kula chakula daah!! chachandu huongeza radha ya mlaji. Unajua hawa wenzetu "KEs" huwa inawachukua mda mrefu kupata hamu ya kula lile tunda la bustani la mti wa kati. Kwahiyo huwa...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21.,Ni mtu mwenye Upendo, mchapakazi, Heshima, Jasiri na pia naeishi ktk maisha ya kawaida saana. >>stori inaanzia miaka mitatu iliopita katka mji mdogo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani unakaa na mtoto wa wamtu miaka 5 ya uchumba, ushamfunua-funua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa Mtoto wa watu amekunja...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu....nawaleteeni LOVE STORY...ni miriamu binti mzuri mpole na ambae amelelewa ktk mazingira ya kimaskini lkn n mwenye tabia nzur na mwenye kuridhika na maisha yake hajawahi kupenda ila...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, habari zenu niko na maswali ambayo yamekua yakinitatiza kila siku ambayo yanahusu mimba, maswali yenyewe ni kama yafuatayo;- 1.Nani mwenye mimba kati ya mwanaume na mwanamke kwa sababu...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mapenzi ni ile hali ya kupendana na mpenzi wako maisha hadi kufa,kutosalitiana ,kuheshimiana ,kupendana,kulindana,kusaidiana,kumcha mungu,kushughulika pamoja,kufurahi pamoja na kuwa mwili mmoja...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari za mida wadau. Dah nimechoka kweli, kichwani kama nyundo zinagonga. Sijui niende wapi nikapate refreshment. Au maeneo gani ya watu wa ukweli niweze kubadilishana nao mawazo. Hebu wadau...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tanzania kuna makabila mengi, lakini inaonekana wanawake wa kichaga wanatafutwa sana kua mawifematerial yaani (wanafaa kuoa). Mfano ukiwa chuoni yaani ni shida sisi vijana enzi hizo tukikaa...
3 Reactions
98 Replies
19K Views
Ndugu wana jf, Mimi ninaishi na msichana wa kazi, nilimchukua akiwa mdogo alivo maliza la saba mwaka 2010 Sasa msichana huyu amekuwa ana mihemuko ya hali ya juu anatamani hata kubaka ni vile...
2 Reactions
62 Replies
7K Views
Mchumba wangu wa kwanza ananpenda sana ila nyumban walimkataa kisa hajasoma..mwingine amesoma ananpenda ila hamzidi wa 1
1 Reactions
20 Replies
3K Views
hivi tatizo la mwanaume kutokuwa na ajira linaweza kukufanya kukosa mpenzi au mpenzi wako kukuacha au uhusiano wako kuvunjikaaa.... 1.wakati nikiwa nasoma chuo kuna baadhi ya marafiki zangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jembe wakuu limeingia dom tangu jana ningefurahi kuwaona wana jamii foram jembe afrika.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jf kwa sasa mtaani kuna watu wamejipa ajira kazi yao ni kufuatilia mienendo ya kimahusiano. Dawa nikuachana na michepuko, majuzi mtu kafanywa vibaya na team flani ya gazeti la udaku.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
ni bora niwe na hit and run tu maana ukimpenda sn msichana ataishia kukudharau tu.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Napenda kuachana na michepuko ila nashindwa sijui kwa nini. Wife ana vigezo vyote na ananihudumia vizuri najishangaa nilianzaje tabia ya kuchepukachepuka!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
YEAH you should eat those boys because they really dont understand what it means by KUJIPODOA and you really look cute
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mke wa jamaa katumiwa sms na classmate wake wa kiume "Vp rafiki, habari za siku nyingi? Vp mwanangu hajambo? Je baba yake wa bandia nae hajambo?" Japo sms ni ya utani lakini mwanaume hajataka...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Yapata miaka 15 iliyopita bwana mmoja dar ilipata kuoa.. Mwaka wa kwanza ukaisha kugegedena kukaendelea bila mafanikio yoyote ya kupata mtoto. katika desturi zetu za kiafrika ongea vyote lakini...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom