Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Ukitaka kula chakula daah!! chachandu huongeza radha ya mlaji.
Unajua hawa wenzetu "KEs" huwa inawachukua mda mrefu kupata hamu ya kula lile tunda la bustani la mti wa kati. Kwahiyo huwa inatakiwa kuongeza radha na hamu ya ulaji.
Wanaume walio wengi ni wachafu sana. Wengine eti wanataka wapige denda na mwanamke!!. Utapigaje denda kinywa kinatoa uvundo? Eti wengine wanataka She wake ashike microphone aimbe duh!! ataimbaje wakati box nyeupe imebadilika rangi na kuwa kijivu.
Hebu wezangu tuwekane sawa wakati mwingine mademu wanagoma.
Wengine sasa anataka akifika uwanjani kabla hata ya kupasha mwili na mazoezi anataka aanze kucheza wakati huo huo khaaa.
STEP ZA CHACHADU
1. Oga vizuri, Piga mswaki vizuri, tafuna Big G.
2. Piga pafumu isiyo na harufu sanaaaaa.
3. Fua nguo zako zooote na uzipasi
4. Tafuta mistari mizuri ya kimapenzi (Tafuta kwenye mitandao mf. Oooh mpenzi macho yako mazuri mithili ya hua, Sauti yako ya maringo inanibembeleza nk)
5. Mpe nafasi nae aweze kuongea. Madume wengi wanataka kuongeatuuuuuuu.
6. Msike shike shingoni, kwenye kiganja, mbusu usoni.
7. Toa mpumzi kuashiria kunakitu fulani ndani ya moyo wako
8. Ongea kwa sauti ya mbali
9. Gonga gonga kwenye bean kama mara 50 hivi taratibu. Utaona matokeo
10. Tumia G-Drive style.
Lazima itakuwa tena na tena.......