Una uhakika ganiii anakupenda sana?????
Waambie washindane ndondi atakaeshinda oa huyo
Rusha shilling.
Mchumba wangu wa kwanza ananpenda sana ila nyumban walimkataa kisa hajasoma..mwingine amesoma ananpenda ila hamzidi wa 1
Hajui asemalo huyo!M mtu akisema anapendwa sana napata shda kuelewa ....iyo kitu ck iz adim sana...tena kwa kumsemea mtu???...