Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajamvi! Kuna tabia ambayo ni ya kiunyanyasaji na kukwepa majukumu na si nzuri hata kidogo, ni vema kubadilika mapema kama upo kwenye kundi hilo,hii inawahusu sana wakiumeni wenzangu so...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Jaman habari zenu Wana JF, Naitwa France jina halisi mimi ni kijana wa kitanzania umri wangu ni miaka 26 ni mrefu wastani na ni mwembamba wastan rangi Yangu ni majikunde naishi Dar maeneo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Moja ya sheria muhimu ya nchi ni PAYE (Pay As You Earn). Naona nchi yetu inapoteza pesa ambazo zingetumika kununua madawati na kulipa mishahara kwa walimu. Kuingiza pesa bila kulipa kodi...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
Habari za w.end wanaJAMII wenzangu? Poleni kwa kusubiri! Mzigo wetu huu hapa: Nilihisi kuwa nimeipa akili kazi ya ziada leo. Akili inafanya kazi tofauti na uwezo wake. Chakula kimekuwa...
8 Reactions
70 Replies
7K Views
Wanajamvi,nimewah kusikia hv mara kadhaa,lakin pia kuna makala niliwah kusoma,lakin pia kwa ufuatiliaji mdogo nimebain ni kweli wewe unasemaje?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi ni mgeni sana katika haya maswala ya Mapenzi yaani malavidavi. So nimeona sio vibaya nikija kuuliza hapa swali linalo nitatiza kwakuwa maswali mengi yanapata majibu ya uhakika hapa. Naomba...
7 Reactions
155 Replies
20K Views
Lara 1, I salute you kwa sababu unasimamia unachokiamini (thats fine) lakini imani yako haina dhara lolote kwenye FACTS, you want marriage to be nchi ya asali na maziwa kitu ambacho hakitatokea...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mimi ni mfuatiliaji sana wa forum hii ya mahusiano na mapenzi,urafiki katika kipande hiki nilitaka niwahabarishe wenzangu ambao mna marafiki,wapenzi au hata wachumba ambao mna ndoto za kuja...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Marriage (also called matrimony or wedlock) is a socially or ritually recognized union or legal contract between spouses that establishes rights and obligations between them, between them and...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nyakati hizi wapenzi wamekuwa wepesi mno kuutambulisha uhusiano wao kwenye jamii. Utakuta msichana/mvulana wamefahamiana wiki moja iliyopita, cha ajabu atawaambia watu wote: "Mimi mchumba wangu ni...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habarini!? Nimesikitishwa na tukio nililoliona wiki hii kwenye pitapita zangu ni binti Wa darasa la 4 amekataa shule akitaka aendelee na maisha ya kujiuza! Ni binti ambae kwa mahesabu ya...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Jana lara 1 alianzisha mada inayosema, wanawake above 30 hata 40 marriage is a hypocritical institution. Kilichonishitua ni kuita ndoa ni hypocritical institution tafsiri isiyo rasmi ni taasisi ya...
51 Reactions
659 Replies
39K Views
Kuumekuwa na kupazwa sauti kwa kina mama/wanawake wakitaka haki sawa 50 kwa 50 na kupinga kile kinachoitwa mfumo dume huku mfumo jike ukihimarishwa kwa kasi kubwa. mimi katika uelewa wangu...
5 Reactions
79 Replies
6K Views
Kuna wakati tunapeana za uso wa mbuzi, kila mtu kamchunia mwenzake mpaka baadaye ndiyo tunayamaliza kwa amani na maisha yanaendelee kama kawaida. Tunatakiwa kujua kwamba lengo la ndoa siyo...
16 Reactions
78 Replies
6K Views
  • Closed
Imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa kihaya kama mpenzi kisha mume hususani wadada wa kichaga na kinyakyusa. Pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni...
0 Reactions
219 Replies
38K Views
Za mida wajumbe? Kuna friend of mine hapa ananipa mchapo akitaka kujua afanye nini. Ana binti aliyenaye katika mahusiano kwa miaka kadhaa sasa. Kijana anasoma ila ana gratuate this year. Binti...
0 Reactions
130 Replies
11K Views
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mnyaturu, maji ya kunde, nimehitimu degree in mining engineering. Namtafuta wa ubavu wangu awe mnyaturu,maji kunde, awe angalau mwl grade au diploma, umri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hili suala najiuliza sana hivi inakuaje?au ni justification ya ule usemi ,"Raha ya mwanaume muwe watano"? Kwa My experience rafiki zangu wengi sana ambao wameoa inakua rahisi sana kuopoa...
1 Reactions
245 Replies
27K Views
Kuna hii documentary mpya inatarajiwa kurushwa na BBC radio ya kiingereza huhusiana na Nchi moja ya kiarabu ambayo kuna utamaduni wa kuoleana dada. Yani rationale ni kudumisha ndoa. Iwapo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hii imefanywa na shirika la utangazaji la DW tv wakiangazia waathirika wengi wa kiume na wanawake kwa kuwauliza wanahisi mapenzi ya kawaida ndo yamesababish aslimia 94 ya wanaume walisema ni ngumu...
2 Reactions
59 Replies
11K Views
Back
Top Bottom