Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Kuna huyu dem, nilikuwa nimempitisha kwenye pepa ya Mock so nikataka nimpromote awe wangu wa milele. Lakin ninavyomuona ni kama amenifanya wa akiba, So niko njia panda kwamba nami nimfanye wa dharura au tu nifumbe macho nimuongezee vimax kwenye NECTA ili awe wife hivyo hivyo bora tu liende?