Habari zenu jamani, mimi ni mwanamke mwenye watoto 3 na mume wa ndoa! ndoa yetu namshukuru Mungu anatusaidia tunaishi vizuri kwa maelewano.
Shida yangu ni kuwa mume wangu ni kabila tofauti na...
Khabari zenu mabibi na mabwana!!!!!!!!
Karibuni MMU EXCLUSIVE INTERVIEW!!!!!!!!!!
Topic: Men Fantacies
Guest: The Boss
Hosts: Lara 1, Zinduna
RULES!! Hairuhusiwi kucomment hadi pale...
LOVE STORY-3
Baada ya miriamu kusikia vile kutoka kwa mama wa Brayan alikimbia na kutoka nje ya nyumba Brayan alimkimbilia na alipotoka nje alimkuta analia alijaribu kumbembeleza lkn miriamu...
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!
Baada ya mada iliyo unleash all hell loose, tuchukue breather kidogo ya mada 2 au 3 maana kwapa linauma kwa mabishano makal! Hahaaa! Na mada...
Habari wapendwa wa MMU,
Binafsi nina suala moja linanitatiza kuhusu huyu mpenzi wangu.
Wakati naanza naye mahusiano alinambia kuwa kalelewa ujombani baada ya mama yake kufariki akiwa bado...
Leo nimejikuta nashanga halafu nikadhani labda ni ushamba au ni kitu gani na hatimae nikajikuta nikiwaza kama ni haki ya mimi kushangaa au nahitajika kujishangaa
Kuna wadada wamekuja kazini...
sifa:
umri kuanzia 25-35
elimu kuazia kidato cha nne
dini mkristo
asiwe na kazi ya kuajiliwa,awe amejiajiri
awe tayari kuishi mkoa wowote wakati wowote.
asiwe na mtoto.
awe na tabia...
Habari!!kama wewe ni mdada uliye single na upo huru naomba ni PM tufahamiane tuwe friends na kuelekea kuwa wapenzi kama tutaendana na kukubaliana!! asante kwa uelewa karibu!!
mimi ni mdada nina mpenzi na tunapendana sana ila tunatumia condon.kwasasa nahitaji mtoto na huyu mpenzi hata wa kumlea mimi kama mimi.tumepanga kufunga ndoa kwa hapo baadae sana.
Habari zenu wana JF wenzangu,
Kuna pindi niliangalia kimenipa inspiration,kuna jamii ya watu fulani ambao kipigo kwao ni PRIDE,yaani mwanamke anafurahia kupigwa/kuchapwa mpaka atoke damu na halii...
Mimi nawashangaa sana wakina dada washindwa kutumia akili zao kumsoma mwanaume kama ni muongo,tabeli au muhuni mpaka kwanza waanze kuringa? hivi watakua wamejirahisisha ikiwa watakubali mara moja...
Hivi karibuni baadhi ya watafiti wa masuala ya mapenzi na uhusiano wamebainisha kwamba bado kitambo kidogo, japokuwa ni polepole ndoa zitaanza kuonekana kama fasheni ya kale na isiyo na umuhimu...
Hivi maana kubwa ya huu wimbo ni nini? Je, unauelewa vipi? Au kuna fumbo kuuhusu.
¤¤¤¤¤
No woman, no cry;
No woman, no cry,
No woman, no cry,
No woman, no cry!
'Cause,- cause'- cause I...
Nilikuwa kwenye kikao Jumapili iliopita cha rafiki yangu...sasa rafiki yangu akafika kwenye kikao amechelewa huku akiwa na binti aliyekuwa ameongozana naye akawambia washikaji alikuwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.