Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Habari za mida wadau.
Dah nimechoka kweli, kichwani kama nyundo zinagonga. Sijui niende wapi nikapate refreshment.
Au maeneo gani ya watu wa ukweli niweze kubadilishana nao mawazo.
Hebu wadau mnaofahamu maeneo ya kuchill. Au kama vipi tuungane. I real need to refresh my mind. Nimefanya programming mpaka ubogo haufanyi kazi tena.