Nani mwenye Mimba kati ya mwanaume na mwanamke

division 5

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
204
Reaction score
241
Wakuu, habari zenu niko na maswali ambayo yamekua yakinitatiza kila siku ambayo yanahusu mimba, maswali yenyewe ni kama yafuatayo;-

1.Nani mwenye mimba kati ya mwanaume na mwanamke kwa sababu mwanamke akipata mimba humfikishia ujumbe mwanaume mlengwa kwa kujieleza kua ana mimba ya mwanaume mlengwa?

2.Mwanamke akiwa na mimba, kama hajaolewa huulizwa hii mimba ni ya nani?

3.Je wanaume ndo hua na mimba zao na huamua kuwapa wanawake?

Wakuu naomba kuelekezwa kuhusu maswali hayo
 
huyu jamaa anajitoa uelewa makusudicaly.,
 
Kwani mimba nini? ukijibu swali hilo utaelewa kwanini wanawake wanasema mimba ni ya mwanaume.
Mimba sio tumbo kuvimba. Mimba ni material yaliyowekwa kwenye sanduku. Sanduku lenyewe ni mwanamke lakini mmiliki wa hicho kitu ni mwanaume. Ukibisha vimba upasuke.
 
mkuu,kwahiyo kama mimba ni material inayowekwa kwa mwanamke so mwanaume ndo mwenye mimba!,kama ntakua sijakuelewa tofauti na ulivyokua ukimaanisha
 
Ulishawahi kusikia mtu akisema yule mwanaume ana mimba..! Mimba ni ya mwanamke ila alie sababisha ni mwanaume. Simple and easy
 
Wakuu,habari zenu niko na maswali ambayo yamekua yakinitatiza kila siku ambayo yanahusu mimba, Maswali yenyewe ni kama yafuatayo;-
1.Nani mwenye mimba kati ya mwanaume na mwanamke kwa sababu mwanamke akipata mimba humfikishia ujumbe mwanaume mlengwa kwa kujieleza kua ana mimba ya mwanaume mlengwa?
2.Mwanamke akiwa na mimba,kama hajaolewa huulizwa hii mimba ni ya nani!!!?
3.je wanaume ndo hua na mimba zao na huamua kuwapa wanawake!!!?
Wakuu naomba kuelekezwa kuhusu maswali hayo

Akili yako una haki yakupata divition 5
 
Baada ya mimba kinachofuata ni mtoto. Jiulize, huyo mtoto atakuwa ni wanani? Basi mwenye mtoto toka awali ndio mwenye mimba!
 
thanx mkuu,hapo nimekuelewa kua mwenye mimba ni mwanaume but mwanamke is the only one anabeba na kutunza mimba ambayo ni ya mwanaume
 
Back
Top Bottom