Napenda kuachana na michepuko ila nashindwa sijui kwa nini. Wife ana vigezo vyote na ananihudumia vizuri najishangaa nilianzaje tabia ya kuchepukachepuka!

mkuu ata mimi nina the same problem,manake sasa hivi ndio naingia kwangu nikitokea kwa mchepuko wng flan hv,yan roho inaniuma mbaya nikiangalia wife anavyoniandalia mapochopocho hapa,yani tamaa ndio inanicost cuz mke wng amesimama(mzur) xana,watu kibao wananiambia,sema mm nachepuka xana kwasababu mke wng kajifungua mtoto wakike miezi 2 ilitopita,hvy mm nina sababu ya kuchepuka ila michepuko sio dili japo tunakimbizana NATO.
Wengine walinishauri kwenda kwa Gwajima ila simwamini kuanzia kwenye issue yake na Flora Mbasha. Au we unasemaje?
U
Hujaoa wewe bado hiyo lugha ya kifacebook uliyotumia tu inathibitisha hilo