Soma hapa na Nipeni ushauri Rafiki zangu.(Part 1)

Soma hapa na Nipeni ushauri Rafiki zangu.(Part 1)

Edmlh45

Member
Joined
Jul 20, 2014
Posts
15
Reaction score
1
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21.,Ni mtu mwenye Upendo, mchapakazi, Heshima, Jasiri na pia naeishi ktk maisha ya kawaida saana. >>stori inaanzia miaka mitatu iliopita katka mji mdogo unao patikana sehemu furani mkoani IRINGA..
 
Back
Top Bottom