bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,700
- 4,126
Tanzania kuna makabila mengi, lakini inaonekana wanawake wa kichaga wanatafutwa sana kua mawifematerial yaani (wanafaa kuoa).
Mfano ukiwa chuoni yaani ni shida sisi vijana enzi hizo tukikaa chumbani kila mtu wachaga wacha eti ukiona mchaga ukimtafutia Tshs. 200,000/- tu ndani ya miezi miwili anakuwa kazalisha zaidi ya hiyo hela tena wanasema wanajua kuwatunza watoto, wanajua kununua vitu vya ndani mfano friji, dinner set n.k
Nlipata bahati ya kwenda Morogoro nikabahatika kukaa na washikaji fulani maeneo ya kilombero nao maada ikawa hiyo hiyo yaani kila mtu pale kusifia wachaga tu..
Haya nipo Tanzania (kama wengine wanavyosema) yaani Dar es salaam nimekaa na washikaji wa makabila tofauti hapa muhaya, mndali, mzaramo na mmakonde nao ni yale yale yaani full kusifia wanawake wa kichaga.
Hivi wadau hapa ninaowaamini kwa kujenga hoja zenye mantinki mnalizungumziaje hili?