kweli wasichana wa cku hz hawapendeki.

kweli wasichana wa cku hz hawapendeki.

mgoli magombe

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
121
Reaction score
27
ni bora niwe na hit and run tu maana ukimpenda sn msichana ataishia kukudharau tu.
 
mbona una generalise???

umetumia sample ipi mpaka uka generalise the entire female population
 
Kudharaulika inategemea wewe mwenyewe unavyojiweka.........

ukiwa mwanaume ukadharauliwa na mwanamke wako , ni sawa na Boss anayedharauliwa na wafanyakazi waliopo chini yake ofisini.
 
Usi generalise ila kuna baadhi wako hivyo!!
Tatizo wanataka mapenzi na fedha at the same time
 
Guys be like:these h.oes ain't loyal...
as if they are loyal themselves..
 
kuna waliosema hit & run matokeo yake wakanasa,wako wanajuta sasa ivi
 
ni bora niwe na hit and run tu maana ukimpenda sn msichana ataishia kukudharau tu.

pole sana asee.... ila niliambiwa kwenye kila love affair lazima kuwe na mmoja ambae ni victim, hamuezi wote mkapendana to the same extent!!! we utakua ni victim na ukishajijua victim uwe unajiwekea plan za kife after kibuti!!!! am out
 
hee hee! utachekwa na manyani wwe, sikuiz hapendwi mtu linapendwa pochi,gwira tu eti ukimpenda demu atakuzarau hahahaha endelea kupenda kama humwagi mpungu mavumba yakutosha atakupendaje!
 
We kama hupendwi kivyako bhana.....nikupe namba ya mpenzi wangu akuambie nnavyopendeka?
 
Back
Top Bottom