Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi inakuwaje mwanamke anasema anakupenda alafu anakupa; Singlendi akitegemea umpe Samsung galaxy, Tai akitegemea Wigi la kibrazil, Vifungo vya shati akitegemea I PAD, Key holder akitegemea...
8 Reactions
102 Replies
10K Views
kweli woman is a pot full of poison, kuna bint wazaz wa mwanaume walimpenda na wakampa namba kijana wao wakaanza kuwasiliana, ndan ya miez 2 et akachukua hatua ya kuwapigia wazaz wke kuwa kapata...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Safari yangu kuelekea nchini rwanda imekuwa poa sana. Nimeenda salama na nimerudi salama kabisa. Ila kule nilipoenda nimepewa masharti magumu kiasi fulani. Masharti hayo ni pamoja na mtoto wa...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Leo kuna jambo moja hapa nataka kulizungumzia. Katika makuzi yangu nimejizoesha kutolala na nguo ya ndani, yaani nikitupia gauni langu refu la kulalia huku mwili wangu ukiwa mtupu kabisa basi...
4 Reactions
106 Replies
12K Views
I am very good looking man, i am 6ft tall, average body bulder, free from diseases, kind, loyal, charming and educated, i am not rich or loaded with cash, but i am a hard worker and i dont believe...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna mjadala nimeukuta kwa rafiki yangu Somoe huko maeneo ya fulani hivi majuzi. Mjadala wenyewe ulikuwa ni kuhusu michepuko ya wanaume. Huyo shogangu alikuwa anamshauri shogake aliyekuwa...
0 Reactions
104 Replies
8K Views
Mungu wangu. Dada ako akabadili mtindo wa ukaaji pale mgahawani. Mwanzo tulikaa kama vile watu wakaavyo katika siti ya dala dala, ile siti ya watu wawili, lakini sasa amekaa tunatizamana. Nikaona...
6 Reactions
73 Replies
7K Views
Mambo wadau, kichwa cha habari chajieleza lakini si vibaya kujikumbusha historia. Siku za nyuma, naogopa kusema zamani manake watakuja wanaotaka source na picha hapa wakati mi sina ilikua hivi...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Habari zenu jamani,
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Namsteeee! Longtime no see you people! Its 2014 Lara1 is a business woman now! Time imekuwa zaidi ya money! Nimeimisije Telemundo my heart beats for Lola. Still those were the best days! Unakaa...
5 Reactions
249 Replies
28K Views
Habari za asubuhi wakuu.. Husika na kichwa cha habari hapo juu.. nawaza sana Jamani mimi sijui na tatizo gani yani vitu vikubwa vikubwa navichukia hata kama ni kitamu nakuwa sikifurahii...
3 Reactions
93 Replies
7K Views
Inafikia mahali naanza kuhisi sisi tunaabuse kila kitu, yaani tunaenda kinyume na ulimwengu. Just imagine unafanya kazi namaanisha kazi anzia asubuhi mpaka jioni kwa kutumia akili. Wataalamu...
29 Reactions
317 Replies
37K Views
Namasteeeeeeee!!! Hapa mjengoni nipo na bibiye lara 1 ambaye ni mmoja wa organizer wa mjumuiko wa raia wa JF wa mkusanyiko unaotarajiwa kutaradadi siku ya tar 25 mwezi huu huu wa Januari...
12 Reactions
296 Replies
22K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,ninatafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa,sina ubaguzi wowote ule na nipo Serious juu ya suala ili,yule mwanamke aliyekuwa tayari kuingia ktk maisha ya Ndoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana Nna miaka 31, mkristo(RC), Nimeajiriwa Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde) Makazi yangu ni dar Elimu-BA Nna watoto wawili Sifa: Awe na umri kati ya 25-28 Awe mkristo Awe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaams mimi ni single mother nina 42yrs kwa atakaesoma akaelewa na akaweza kumatch please you are welcome to start a new family, age awe between 44 hadi 50.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Watu tuliosoma kwa shida tena kwa mama zetu kuuza gongo ili tusome tukishapata kazi tunaishia kuwahonga wanawake na kuwasahau mamazetu. Mpaka tukafika hapa tulipo mama kijijini analala kwenye...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Sijui ni ushamba wa polisi ama sijui ni umbumbumbu wa wa tz. juzi usiku majira ya saa mbili hivi usiku nilitoka na mpenzi wangu kwenda kupunga upepe hapo coco beach, tukapiga wine glas mbili...
3 Reactions
144 Replies
17K Views
Wana JF, Mimi nina mdada nimezaa naye ila yupo kwao, mtoto namtunza vizuri tu mahitaji yote anayotakiwa kuwa nayo mtoto ila cha kushangaza jana nimempigia sim mama mtoto wangu kaniambia...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Leo kwenye lunch kazini kulikuwa na mjadala juu michepuko na njia kuu kwa wapenzi wapya ambao labda wako pamoja kama mwaka mmoja hivi inawezekana hata wanaishi mikoa tofauti. Hoja kadhaa za...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom