Mimi naamini wengi humu JF hawatizamiki mara mbili

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,504
2,000
Habarichiiii

Mimi nasema toka rohoni .....Kwa wale wanaume wanaotuletea matangazo ya kusaka wachumba,lazima watakuwa ni madomo zege na wengine hawatizamiki mara mbili, (kama masoud sura mbaya) na hata sent hawana..
Mwanaume mbaya hata kama sura ni maporomoko ya ukrain lakini kama anahela hakosi mbembez,lakini 100% ya JF wanaume watafutaji ni majangaaaaa na ndo mana hata lugha zinazotumika za kishenzi sana,yani hata hawajui jinsi ya kushawishi wadada....Mtatanganza kila siku nawaambia
Haimaanishi hii imenitokea hapa,nimesema kutokana na mawazo yangu.
Na wale wanaotongoza tongoza hovyo nao ni the same issue,na ndo mana thread za walalamikaji kuhusu wanawake wapiga mizinga ni wengi humu.....

Mwanaume mzuri na anayejiamini hawezi akatafuta demu hata siku moja...anakuwa ametulia zake akicheki dunia inavyozunguka.....

Mnasema wanawake wako cheap nyie na hayo matangazo yenu mko expensive???? 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom