Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

team bazazi!!! level zenu mech za mchangani alafu mnataka mkakipige champions league. msipende kukosoa sana wakati na nyie mnamapungufu yenu katika mapenzi.. picha inajieleza zaidi
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Naona kuna uhaba wa baa mpya kimara. Nasikia moja nzuri inaitwa New vision. Ipo eneo gani la Kimara. Nasikia mambo safi!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
anyone there private me please nahitaji mwenyeji anionyeshe mji nisije kupotea njia
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Huo ndo ukweli hata kama ni mchungu kwa mabinti ambao mna mahusiano na wazee halafu ukitegemea muda ukifika wa kutaka kuolewa umpate kijana wa umri wako. Mifano halisi ipo mingi tu yamewakuta...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu wana JF, Wakati mwingine huwa ninakumbwa na hisia kali sana ya kujitoa maisha yangu kwa ajili ya familia yangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu wote. Hali hii hunijia wakati tofauti tofauti...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Natafuta mchumba ambaye Mungu akijalia tuishi pamoja hapo baadae. Sifa zake... 1. Dini - mkristo 2. Kabila - lolote 2. Umbile - Hasiwe mfupi sana wala mnene sana. 3. Umri - hasizidi 27 4...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
<a href="http://www.youtube.com/watch?v=bUdiWTtl_Yk&amp;feature=pl ayer_detailpage#t=1" target="_blank"> http://www.youtube.com/watch?v=bUdiWTtl_Yk&feature=player_detailpage#t=1 wanatutafutia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dah!! Jamani!! Hizi issue za kutaka kuoa naona zinataka kunishinda. Sijui mliooa mlioaje. Sasa nimeona nipause kidogo kuhusu relationship. Hii ni seriouse. Mimi ni software developer ni develop...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Ni kweli, Msichana anavutia zaidi kimahaba pindi akiwa amevaa nusu nusu! Mfano akivaa sketi fupi hapoo ndo mvuto unauona, zaidi sasa aweke mpasuo wa haja aaah midume mate! Akivaa kinguo...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Hebu fikiria, katika wanawake /wanaume wote uliotembea nao kabla ama baada ya kuoa/kuolewa. Ingetokea siku moja, wakati mmoja wakaja mbele yako ukiwa na mwenza wako kukushtaki kwake, unadhani ni...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Huu ni upuuzi wa hali ya juu, wakati unaanza mahusiano na mtu uliyemzidi elimu ukiwa huna kitu ,vumbi limekujaa mpaka kwenye kope za macho hukuona kwamba sio level yako. Leo hii umepata ajira...
3 Reactions
58 Replies
7K Views
Mwenzetu huyu yamekuta, amempenda binti wa kikulya, na sasa walikuwa ktk harakati za kufunga ndoa. Anasema mahusiano yao yamedumu kwa miaka 5, na hii ilitokana na kijana kumvumilia mwenzi wake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeolewa na nina watoto 2, mimi ni muajiriwa na mume wangu pia muajiriwa serikalini. Siku moja ilikuwa birthday ya mume wangu but alisahau ikabidi nimfanyie suprise kumpelekea zawadi ikiwemo...
5 Reactions
469 Replies
55K Views
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana...
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Habarini wana mmu,hope mko vizuri. Hivi inakuwaje pindi unamwambia au kumuandikia mpenzi wako sms unamwambia 'nakupenda dia' halafu anakujibu 'poa',unamwambia 'nimekumis kpnz' anajibu...
0 Reactions
134 Replies
26K Views
wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za cku wana jamvi?leo naomba tuzidi kuziombea amani familia zetu ili zidumishe amani na upendo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Apo zamani kulikuwa na mwana mama mmoja aitwaye TUNDO,huyu mama hakubahatika kupata mtoto,hali iliyofanya ndoa yake kuwa matatani,kwani ndugu wa mume wake hawakumpenda kabisa, sababu ilikuwa ni...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Ukiwa na gari, kuna watu autmatically utakuwa unawapa lift, hasa hasa kutoka ofisini unawasogeza mpaka maeneo wewe huendi wao wanachukua usafiri mwingine. Sasa kuna ile mmoja ya watu hao anakuwa...
1 Reactions
91 Replies
7K Views
1.ubishi na ujuaji Siku hizi ni jambo la kawaida kukuta msichana ni mbishi (argumentative) na mjuaji, anabisha na kuweka ujuaji sana (wakati mwingine hata mbele ya watu) huku kukiwa hana nia...
15 Reactions
60 Replies
9K Views
Back
Top Bottom