Habari wana jamvi.
Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi yapata mwaka wa pili sasa na binti aliyenizidi umri kwa miaka mi3. Umri wangu ni miaka 26, wakati tunaanza uhusiano hatukuwahi kuulizana...
Habari zenu wanajanvi.
Rejea kichwa cha habari hapo juu to be honest cjawahi kumpenda mwanamke toka moyoni kwangu mpaka japo nina miaka 27 je ni kwamba umri bado wa kupenda au...
Mke wangu simuelewi kabisa,kila nikijaribu kudai tufanye tendo la ndoa anakataa, eti anasema kwa vile sijamtolea mahari basi niwe nalipia.Mpaka nafanya kumdanganya kwamba nitamlipa mwisho wa mwezi.
Wana Jamii Forums.
Mkasa huu haunihusu mimi kwa namna yoyote ile. Nime upata toka kwa mtu aliye kua akitoa ushuhuda na ulinitoa machozi sana. Soma mwenyewe...
Jamani hivi tukisema kila mwanaume awe na mke ama mpenzi mmoja, hao wengine watashughulikiwa na nani? Takwimu za kitaifa na kimataifa idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume.
Mi naona...
Enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanavaa Shanga kama ujumbe kwa mume. Ilikua ni aibu kubwa kumwambia mwanaume leo nahamu na wewe, leo niko period, leo niko danger days. Hivyo Shanga...
KWAWANAWAKE TU
Natafuta mchumba elimu yangu shahada ya information communication technology,ninaishi dsm,umri wangu miaka 26,sura yangu ni maji yakunde urefu wangu futi 6,napendelea kucheza mpira...
Wanajamvi, kuna kitu nimeona nilete kwenu.
Sijawahi fanya research, ila kama kuna mtu amewahi fanya kuhusu title hapo juu, atujuze.
Je naweza sema kuna baadhi ya makabila wanawake hawapendi...
Nimepata Rafiki wa kweli humu Ndani (dada wa makamu) baada ya kuandika kuwa nahitaji marafiki na hivi sasa tumekuwa kama ndugu tunasaidiana kwenye shida na raha.Kumbe hapa Jamii Forums ni...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Igwe wenu nimevurugwa mwaka huu! lol!)
Hahahahaaaaaa! Yani naandika huu uzi huku nacheka, na kutetemeka...
JE, FEDHA ZAKO ZA BANK ZIPO SALAMA?! NAOMBA KUZUNGUMZA NAWE...
Jamani imenitokea mimi siku ya LEO na hivyo iwe fundisho, angalizo na umakini kwa wengine. Account zetu za Bank hazipo salama hata...
Kuna imani ambayo wanawake wengi wanaiamini sana , ambayoa kwa sasa haina nafasi kabisa.
Unakuta umemtongoza mtu bidada atakama na yeye alikua anakupenda hawez kukuambia wala kukubali kwa wakati...
Wilaya ya Tarime mwanamke amwagiwa maji ya Moto ya kusongea Ugali na mumewe kisa alichuma Mahindi mawili katika shamba lao bila ruksa ya mumewe.
sasa amelazwa Hospital ya Musoma kwa matibabu na...
Mwenye mke ana cheza beki na nafasi ya kiungo atacheza baba mwenye nyumba striker wa kuaminika atacheza panya road ndomana mpira mkali sana wengine hawa OHOO! MTUMISHI WA MUNGU ANASWA NA MKE WA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.