Habari za jumapili wana-JF
Nimepanga nyumba moja chumba na kisebule, tangu nipange hapa huu ni mwaka wa tatu sasa.. Na hapa tunaishi na mama mwenye nyumba wangu, mwezi wa kumi mwaka jana...
Nilichungulia kupitia ule mwanya pale dirishani na kuona gari moja aina ya verosa ikiingia pale hostel na robo saa baadae mpenzi wangu Vivian akiwa na rafiki yake wa karibu Nancy wakaingia katika...
JE, FEDHA ZAKO ZA BANK ZIPO SALAMA?
Jamani imenitokea mimi na hivyo iwe fundisho, angalizo na umakini kwa wengine. Account zetu za Bank hazipo salama hata kidogo. Majuzi nikiwa nimepozi na ndugu...
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka...
Wana Jamii forums: Habari ya usiku huu, Ndugu zangu mpaka naamua kuandika Uzi huu usiku huu wa saa 1:51am ni kutokana na mfululizo wa ndoto ninazoziota juu ya marehemu mchumba wangu aliefariki...
Nilikuwa na demu wangu miaka miwili iliyopita.sasa Jana nilikuwa maeneo fulani hivi nakula ujana gafula demu wangu nikamuona anatoka guest na jamaa fulani hivi kule kumuulizia akadai jamaa alikuwa...
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life I need a serious man.
Am 23.
Mhaya na ni mnene kidesign.
Shepu ya kihaya to be precise.
Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi...
Wana jamvi,naomba mnijuze kwanini ni rahisi kumpata mwanamke mwenye mtoto ukilinganisha na asiye na mtoto.Ambao wana watoto utapata papuchi fasta wasio nao ee utabembeleza hadi bhasi.
SIMULIZI.......PENZI CHUNGU
MWANDISHI... HALFANI SUDY
SEHEMU YA 2
Bruno alikuwa hajielewi. Akili yake ilihama kabisa. Hakuuona kabisa ubaya wa kumshika Suto namna ile. Sasa alikuwa anamuona Suto...
Ni juzi tu ndugu yetu katoka masomoni, aliacha mke wake nae ni msomi nyumbani, yeye akaenda kuongeza shule.Cha kusikitisha mwanamke akaanza kutoka nje ya ndoa kwa kuleta wanaume ndani,lakini kama...
hello
i hope yoh re duin gr8t out there, i and my gf got into a fight last night cause i never give her a gift as i promised...is this female deserve me or i better find another??????
She may be the face I can't forget
A trace of pleasure or regret
Maybe my treasure or the price I have to pay
She may be the song the summer sings
May be the chill the autumn brings
May be a...
nina mchumba nipo nae zaid ya mwaka na nusu sasa amenianzishia mtindo wa kunidai mesej za mapenz zenye maneno mazuri zaidi ya mawili kabla ya kulala kama dozi vile deile
nimemtumia kama miez...
Kuanza mwaka 2009 (namaliza form 4?) hadi leo 2015 january...jumla ya wanawake walionipa miili yao imefika 35 jana! Na hii sihesabu kwa frequency ya sex ila kwa kila kichwa.
Facts: Wawili kati ya...
Habari ndio hiyo! Kama hobi yako ni kuchelewa, basi uchelewe kwenye kila kitu.
Shuleni ndio ulikuwa mchelewaji namba moja. Kwenye nyumba ya ibada unafika wakati misa imeisha. Sasa 'balehe...
NJIA 60 ZA KUMFURAHISHA MKEO
1. Mfanye ahisi kuwa yuko salama; acha kuwa mbabe na mgomvi!
2. Unapoingia nyumbani âtoa salamu' Salamu humfukuza shetani nyumbani kwako!
3. mke ni mfano wa...
SIMULIZI.........PENZI CHUNGU
MWANDISHI... HALFANI SUDY
SEHEMU YA 1
Suto Sutani, alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Alikuwa msichana mrefu wastani, Suto alikuwa na umbo zuri sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.