Wanajamvi, kuna kitu nimeona nilete kwenu.
Sijawahi fanya research, ila kama kuna mtu amewahi fanya kuhusu title hapo juu, atujuze.
Je naweza sema kuna baadhi ya makabila wanawake hawapendi kuolewa na wanaume wasio makabila yao? mfano watu wa kaskazini especialy wachaga?
Nauliza maana nimewahi kuwa na msichana mchaga, nilivyotaka nimtambulishe kwetu ndo ukawa mwisho wa mahusiano yetu.
Mwingne nimekuwa naye na nikampenda. Sikujua nikamtambulisha kwa ndugu kupitia taarifa tu.
Lakini naye kasema wazazi hawapendi nimuoe sababu ya kabila langu.
Je, kabila na mapenzi vina uhusiano gani? mwenye kujua hasa hawa wachaga anijuze.