Habari zenu wanajanvi.
Rejea kichwa cha habari hapo juu to be honest cjawahi kumpenda mwanamke toka moyoni kwangu mpaka japo nina miaka 27 je ni kwamba umri bado wa kupenda au nimeshapitiliza ,kama kugegeda ni kama kawa mimi huwa napendwa tu wasichana naombeni ushauri.