Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mke wangu anafanya kazi kwa bidii na anajua sana kutafuta Pesa kihalali kabisa. Hivi mwamke kama huyo anastahili Zawadi gani kama kichocheo ili aendeleze juhudi katika jitihada zake.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamaa mmoja, alichungulia Pochi hang bag ya mke wake!! Akakutana na bank statement yake ina million 45 kwenye account yake . Jamaa alipata mshangao wa ghafla ukizingatia mke wake hata mshahara...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Asiwe na Miaka 40 asiwe chini ya Miaka 24 awe na Kazi inayompatia Kipato. Gharama zote za kumtunza, kusomesha Mwanangu zitakuwa zangu,ila hakuna kuoana kwa aliye tayari aje inbox.
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu. (Copied somewhere) Mambo ambayo Mwanaume anafanya kukujaribu kama wewe msichana unafaa kuwa mke: 1. Ukienda kwake ukutane na Vyombo vichafu na Nguo chafu zimejazana...
4 Reactions
68 Replies
13K Views
NI KWELI KWAMBA WANAWAKE HAWALIZIKI! Niliishi na mke wangu tukiwa na kipato cha chini vizuri tu! Baadae alionekana kutokulizishwa na maisha tuliyokuwa nayo. Nilipambana mpaka nikapata kazi na...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Seriously Wakuu nifanyeje juu ya sweetie wangu huyu. I really love and Am dying for her. Tatizo ninapomdinya nashtukia ghafla kaning'ata,nimebadili style,nikapiga doggy kajipinda hadi kang'ata...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Miaka, miezi na hatimaye siku si nyingi zijazo mchakato wa kumpata Rais wa awamu ya 5 wa JMT. Wengi wanatajwa au kujinadi kuwa ndio watu wanaoweza kuipeleka ktk hatua kubwa kimaendeleo. Kwa...
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Kiukweli thamani ya mwanamke ni akili yake na ujuzi wa kupambanua mambo!!ukubali ama ukatae...mwanamke ndo msingi wa mafanikio katika familia.kwa uchunguzi wangu..masistaa katika mahusiano huwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
NAITWA Salome Katonaga, ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia yetu ya watoto watano. Nimeamua kuwasimulia simulizi hii ili mfahamu kwa nini wahenga walisema dunia ni tambara bovu. Nitaeleza...
41 Reactions
112 Replies
39K Views
deleted be sorry!
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Sikiliza huyu binti alivyomjibu baba yake mzazi. Walikuja vijana watatu kumposa binti mmoja. Kijana mmoja alikuwa Tajiri sana.. Kijana wa pili alikuwa Handsome sana... Kijana wa tatu...
4 Reactions
65 Replies
13K Views
Nina ushaidi yakinifu kupitia humu jamvini pamoja na mitaani tunamuoisha hasa hasa wakazi wa Dar es Salam. Nimelfanyia utafiti kwa kufatilia wazee wa zamani walikuwa wanaishije katika maswala ya...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wazee wenzangu humu Mmu na Jamiiforums kwa ujumla hamjambo. Poleni na ugumu wa Mwezi huu ambao wengi tunatamani usiwepo kwenye Kalenda ya Mwaka. Nadiriki kutoa Elimu kwa wanawake kuwa ni salama...
2 Reactions
74 Replies
18K Views
Wakati mwingine najifungiaga ndani nikimshukuru Mungu kwa kufikiria mambo mengi sana yaliyonitokea katika Safari yangu hii ya Maisha mazuri, mabaya sikuwai kukata tamaa. Kuna vijana wenzangu...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa Ntakao wakwaza mnivumilie! Wanawake wasio na Kazi wanakua hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta...
10 Reactions
161 Replies
20K Views
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana.Nandungu zangu wengine nawasalimu kwa ile Salam ya Asalam.Haya sasa narudi katika Mada kunasiku nilikaa na Babu yangu katika kupiga piga Story. Akaniliza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashindwa hata kuelewa sijui ni kwanini wanawake wa siku hizi wamepoteza kabisa ladha. yaani mapenzi kwao hakuna tunafata mtelezo tu. Utakuta we Mwanaume unajitahidi kumuandaa kwa kumtomasatomasa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Yeyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! Jamani naomba ni i adress hii FALLACY ya ME wengi baada ya kushindwa kuwa MIDUME YA MBEGU na kukosa kuwafaiddi warembo of their times (kila generation...
15 Reactions
196 Replies
21K Views
Mimi sijawahi kuona wanawake warembo kama weusi, ni warembo mno, infact wanavutia sana. Cha kushangaza sasa, kuna mijitu yenye upungufu wa akili kichwani inajichubua bila huruma, kibaya sasa...
6 Reactions
100 Replies
12K Views
Kwa wale wanaopenda kutumia Ushirikina kwenye suala la Mapenzi sasa mwisho wao umewadia, Serikali imeshapiga marufuku Waganga wa kienyeji wenye shughuli zinazohusiana na kupiga ramli. Jipangeni...
2 Reactions
22 Replies
27K Views
Back
Top Bottom