mjinishure
Member
- Oct 19, 2012
- 86
- 56
KWAWANAWAKE TU
Natafuta mchumba elimu yangu shahada ya information communication technology,ninaishi dsm,umri wangu miaka 26,sura yangu ni maji yakunde urefu wangu futi 6,napendelea kucheza mpira na upande wa chakula napenda chakula cha asiri.
SIFA ZA MWANAMKE NINAE MHITAJI KUWA MKE MTARAJIWA
awe mweupe au mweusi sawa ila asiwe ametumia mkorogo wowote kubadili sura yake
awe tayari kuacha ujana na kuingia kwenye maisha ya ndoa
awe warau elimu ya kuanzia kidato cha nne
asiwe na shughuri nyingi kiasi chakushindwa kuonana
asiwe na ndoto zakuolewa na tajiri kwani maisha yangu niyakawaida
mcheshi na mwenyeupendo kwa kila mtu
Umri kuanzia miaka 21-30
NINA PENDO LADHATI KWANI NAHITAJI KUJA KUOA KABISA NAKUWA MAMA WA WATOTO WANGU