Achia goli mwanamke kujiamini

Achia goli mwanamke kujiamini

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
Kuna imani ambayo wanawake wengi wanaiamini sana , ambayoa kwa sasa haina nafasi kabisa.

Unakuta umemtongoza mtu bidada atakama na yeye alikua anakupenda hawez kukuambia wala kukubali kwa wakati huo mpaka baada ya siku kadhaa, wiki au mwezi.

Imani yao ni kwamba wakikubali mapema wataoneka malaya, kumbe sio kweli kabisa kuonekana Malaya kunatoka na kua na mahusiano zaid na mtu mmoja na sio wakati wa kukubali.

Wengine wanafika mbali zaid ata namba ya simu kupata ni mtihani wakiamin kutoa namba ya cm ni nusu ya kukubali.

kutoa jibu LA kukubali au kukataa mapema hakumfanyi mtu kuonekana malaya .
Badala yake unaoneka unajiamin zaid!.

Utaonekana unajiamin zaid ikiwa unakubali Leo na kutoa ata ppcha cku iyoiyo. Ukipendwa na wewe ukapenda basi a
"Achia goli mwanamke kujiamini."
 
Dah! ama kweli mahubiri ya siku za mwisho ni ushetani mtupu. Mkuu unataka wawe wanaachia vyote siku hiyo hiyo!
Na vile siku hizi hakuna kut*o*ngoza? Basi ukijisia unaenda barabarani unamshika mtu mkono mnaenda kumalizana
 
Mi sidhani kama mwanamke kukubali mara moja ataonekana malaya. Ila kama ana uhusiano na watu wengi basi ndo mwanaume anaweza kutafsiri hivo. Hata hivyo si busara kwa mtu ambaye hamfaamiani , akutokee halafu ukabali. Kwa yule mnayefahamiana si tatizo ila siyo yule mnapishana barabarani halafu unakubali.
 
njoo badoo yaani saa 4 unatongoza saa 4 na dakika 20 unapiga bao la kwanza ...mambo yanakuwa fast tracked vibaya sana
 
Nyakati za mwisho tutazitambua kwa ishara nyingi..... Hii ni mojawapo.
 
ha haha ha haha yani unasubiria mshahara mwisho mwezi ,... mtongozo pia mwisho wa mwenzi alafu vyote vinachelewa .. utapata heart attack
 
soccer.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom