Amenizidi miaka mitatu je anafaa kuwa mke?

Amenizidi miaka mitatu je anafaa kuwa mke?

Deogratius n

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
1,193
Reaction score
254
Habari wana jamvi.

Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi yapata mwaka wa pili sasa na binti aliyenizidi umri kwa miaka mi3. Umri wangu ni miaka 26, wakati tunaanza uhusiano hatukuwahi kuulizana umri mpaka mapenzi yalipotukolea kwa miezi kama mitatu ndipo nilipogundua binti kanizidi umri.

Zaidi zaidi tulikumbuka tu kupima afya zetu. Sasa imefikia wakati tangu mwaka huu uanze binti anadai nipeleke barua kwao ili tuanze mchakato wa kuhalalisha ndoa. Naombeni ushauri wenu je kuna madhara kuwa na mke aliyenizidi umri.

Natanguliza shukrani kwa wale watakonishauri vizuri, karibun.
 
...mmmh!ngoja wataalamu waje ila ningekuwa mimi nisingeoa mzee wakati mabinti wapo!
 
Haina shida, kikubwa ni respect ndani ya nyumba!!

Umri ni namba tu kama huamini kamuulize Mariah Carey kazalishwa na kijana wa umri gani! Unachotakiwa wewe ni kuwa na maono ya mbali kama mwanaume!!
 
siyo mingi ndiyo ila kwa uzoefu huyo atazeeka kabla jamaaa hajaota hata ndevu...chezea kuzaa wewe!!

Kuzeeka mapema kwa mwanamke inategemea sana mme wake, mwanamke matunzo ati
 
Mimi ni mwanaume lakini naudhika na maswali ya sampuli hii.Ingekuwa mume ndio kazidi 3 years ingekuwa issue?
 
Wewe chapa ilale ile papuchi na dushelele vina tabia ya kujibalanci hivyo usiogope kuzidiwa miaka hiyo
 
Wewe chapa ilale ile papuchi na dushelele vina tabia ya kujibalanci hivyo usiogope kuzidiwa miaka 5 na hata ingekuwa 10
 
Nibora kuoa mwanamke aliekuzidi umri kdg kuliko kuoa ambae umri mpo sawa au chini yako kdg utajuta! Kama mnapendana muoe tu dada wa watu umri co tija
 
Nibora kuoa mwanamke aliekuzidi umri kdg kuliko kuoa ambae umri mpo sawa au chini yako kdg utajuta! Kama mnapendana muoe tu dada wa watu umri co tija

kaka ume2mia kigezo kp? Pia ahsante kwa ushauri.
 
Madhara ya nini kwenye umri, kwani ugonjwa ule. Endelea nae tu, labda uwe hujampenda au unatafuta sababu ya kumuacha.
 
Yaani ulipogundua umezidiwa umri ni miaka miwili iliyopita...

Leo hii kuambiwa tu habari ya kuoa ndio akili yatambua utofauti wa umri ulionao...

Hivi ina maana malengo yako na huyo binti hayakuwa kufikia ndoa?

Kama unaona haupo tayari ni bora umuache binti wa watu kuliko kuendelea kuzuga zuga...
 
Yaani ulipogundua umezidiwa umri ni miaka miwili iliyopita...

Leo hii kuambiwa tu habari ya kuoa ndio akili yatambua utofauti wa umri ulionao...

Hivi ina maana malengo yako na huyo binti hayakuwa kufikia ndoa?

Kama unaona haupo tayari ni bora umuache binti wa watu kuliko kuendelea kuzuga zuga...

Ni heshima zaidi kuvunja urafiki/uchumba kuliko kuvunja ndoa. Tulia ufanye maamuzi vizuri, je uko tayari kwa ndoa?
 
Habari wana jamvi.

Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi yapata mwaka wa pili sasa na binti aliyenizidi umri kwa miaka mi3. Umri wangu ni miaka 26, wakati tunaanza uhusiano hatukuwahi kuulizana umri mpaka mapenzi yalipotukolea kwa miezi kama mi3 ndipo nilipogundua binti kanizidi umri, zaidi zaidi tulikumbuka tu kupima afya zetu. Sasa imefikia wakati tangu mwaka huu uanze binti anadai nipeleke barua kwao ili tuanze mchakato wa kuhalalisha ndoa. Naombeni ushauri wenu je kuna madhara kuwa na mke aliyenizidi umri?

Natanguliza shukrani kwa wale watakonishauri vizuri, karibuni

Kwa uzoefu wangu mdogo katika mambo hayo ni kwamba...kama una mtu na unawasiwasi nae..hii ni dalili kwamba ushaanza mtoa moyon...sasa usitumie kigezo cha umri kumwacha!!! Kama moyon mwako unaona hafai bora uwe muwaz kwake na sio jf!!
 
Back
Top Bottom