Ukisoma bible utakutana na mistari hiyo hapo chini, hii inawagusa wanawake kama chanzo cha matatizo kwenye mahusiano. Hii inamaanisha, ni vigumu sana kuwaelewa viumbe hawa. Hebu angalia picha hii...
Ndugu wana JF wenzangu mm ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 21 namhitaji binti ama mpenz mwenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 21. Mwenye hizo vigezo wa umri an PM.
Asanteni wadau.
Bibie mmoja yamemkuta sasa kwenye ndoa,aliaga December anakwenda Zanzibar,kapelekwa mpaka Bandarini kiasi Kubwaa amerudi nyumbani mume.
Anashika novel anaona risiti za malipo ya Lodge ya Mbeya...
THE 50 THINGS ABOUT WOMEN THAT BAFFLE MEN:
Their mood swings
How shopping is more than just shopping, it's a social event
The time it takes them to get ready
Their ability to hold grudges
How...
MIMI NI KJANA WA MIAKA 25, KTK MAISHA YANGU HUWA NAJSIKIA MPWEKE SANA KAMA SIPO KAZIN KWAN CJAWA TAYARI KUOA NA SINA MPENZ WALA MCHUMBA, NAHITAJ MWANAMKE YEYOTE WA KUBADLISHANA NAYE MAWAZO. my...
Wanajamvi, natumaini muwazima wa Afya,
Nimeona nije kwenu walau mujue yanayonisibu, sio kitu kipya hapana, ila kimeniweka kwenye mazingira magumu sana, japo najitahidi kufanya kila linalowezekana...
Habari wadau, poleni na pilika pilika za kutafuta ridhiki.
Nimeona niilete hii mada tuijadili hasa kwa wakazi wa Jiji la Dar-es-salaam.
Mwenzenu nikitembelea Posta huwa nashindwa kuwaelewa hawa...
Nikipata kamechi hata ikiwa ni dhidi ya katimu-kibonde yaani vile vimechi vya ghafra-bin-vuu,
Huwa kama nafasi na mazingira yanaruhusu ninakuwa na kiu na kauroho kaajabu ka-kutamani angalau...
Mimi ni mwanaume,umri wangu ni 30 natafuta mke wa kuoa.Naishi Dar es salaam kwa mawasiliano zaidi ni pm usisahau kuweka namba ya Simu.Ni mwajiriwa,Elimu yangu ni Chuo.
Habar zenu wanajamvi? Wandungu nina homeboy wangu flan ambae tunaishi nae jirani huku kwa weupe, huwa ananshangaza sana kwa hii tabia yake ya kuendekeza kupiga mkono sometime ata mbele ya mke...
Habari wapendwa.
Kuna huu mtindo, baadhi ya mabinti, wanakuwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.Ninajiuliza, wanawezaje kufanya hivyo.Hao wanaume hawashitukii.
Naomba uzoefu...
Habar zenu, kwa mara ya kwanza napost Jamii forums.
Kuna hili jambo mwenzenu laniumiza kichwa. Mpenzi wangu haniamini tena kama zamani kwa chochote kile na yote ni kwasababu niliwahi kumcheat...
Hivi kunauhusiano gani kati ya kuwa mtoto wa mwisho na kupendwa na mabinti,sisemi kila mtoto wa mwisho anapendwa pia sisemi wasio watoto wa mwisho kuzaliwa hawapendwi.
Ila maranyingi nimeona...
Najitokeza kwenu mm ni mwanaume umri miaka 28 natafuta msichana wa kuoa umri ni kuanzia miaka 18-26 mimi naishi Dar es salaam nitumie PM kwa aliyeko tiyari..
Wimbo huu inadaiwa ni ni tukio la kweli, mimi namwona mama huyu kiwakilishi cha wanawake jasiri wenye upendo wa kweli ulivuka mipaka, alibeza kudhalilika ili aokoe Maisha ya mume ampendae.
Jamii...
Ebu na mwenye uzoefu atie neno hapa; ukweli nikwamba ukienda posta rate ya mademu wabaya inapungua sana! Kila demu kwa reception na mwonekano wa kawaida utaona anafaaa...! Tembea kidogo kuelekea...
SIMULIZI.........PENZI CHUNGU
MWANDISHI... HALFANI SUDY
SEHEMU YA 1
Suto Sutani, alikuwa ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Alikuwa msichana mrefu wastani, Suto alikuwa na umbo zuri sana...
Habari zenu wanajamvi,
Uhusiano wa kawaida ambao unajengwa na jinsi mbili KE na ME, Umekuwa na changamoto kadhaa kwa watu kushindwa kujua jinsi ya ku deal na wenzao wao, kujua nani ni perfect...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.