Copy and Paste (Shanga)

Copy and Paste (Shanga)

gwahe

Senior Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
147
Reaction score
84
Enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanavaa Shanga kama ujumbe kwa mume. Ilikua ni aibu kubwa kumwambia mwanaume leo nahamu na wewe, leo niko period, leo niko danger days. Hivyo Shanga zilitumika kufikisha ujumbe.

Mwanamke alikuwa akivaa Shanga nyekundu mume wake anajua leo mke wangu yuko period, akivaa nyeupe anajua leo mke wangu ananitaka, akivaa njano yuko Danger days, akivaa kijani anahamu lakini watumie njia ya kuzuia mimba...

Lakini Dada zetu leo mnavaa njano, blue, nyekundu, kijani.
 
hahahahhaaaa, mkuu you have made my evening hapo kwenye LAKINI. Siku hizi wanavaa 'shanga mseto' eeeh
 
Na hawa wanaovaa silver na gold viunoni..wanafikisha msg gan vile? Ila wanapendeza kwa kwel kitu gold gizan unaona inavyowakawaka......Unaweza fia hapo asee.
 
"LAKINI
Dada zetu leo mnavaa njano, blue, nyekundu, kijani......"


Kachumbari, taabu kwelikweli!!!
 
shanga zina raha yake mm mwenyewe napenda xana wanawake wanaovaa xhanga aisee
 
Siku hizi wanawake wanajivalia tu na hata wanaume pia hawajui maana ya hizo rangi. Kila mmoja ni kipofu. Ila nadhani uvaaji wa shanga siyo kwa makabila yote, kuna baadhi wanavaa kuna baadhi hawavai.
 
Enzi za mababu zetu wanawake walikuwa wanavaa shanga kama ujumbe kwa mume. Ilikua ni aibu kubwa kumwambia mwanaume leo nahamu na ww, leo niko period, leo niko danger days. Hivyo shanga zilitumika kufikisha ujumbe.

Mwanamke alikuwa akivaa shanga nyekundu mume wake anajua leo mke wangu yuko period, akivaa nyeupe anajua leo mke wangu ananitaka, akivaa njano yuko Danger days, akivaa kijani anahamu lakini watumie njia ya kuzuia mimba...

LAKINI
Dada zetu leo mnavaa njano, blue, nyekundu, kijani......

Kiruuu mwenye macho aambiwi tazama, mwenye akili aambiwi umeelewa!
 
Dada zetu leo mnavaa njano, blue, nyekundu, kijani......

sg.jpg
 
Ushasema zamani.
Shanga cheni vina raha yake wengi tunavyaa kwa urembo na mvuto kwa wahusika wetu.
 
Mimi nimeanza kutembea na wanawake wanaovaa shanga nikiwa na miaka 14 mpaka sasa nina miaka 26 nishaathirika.nikikutana na mwanamke bila shanga simuelewi.
 
Mimi nimeanza kutembea na wanawake wanaovaa shanga nikiwa na miaka 14 mpaka sasa nina miaka 26 nishaathirika.nikikutana na mwanamke bila shanga simuelewi.

Unakuwa unatambua rangi zake??Au unapenda shanga tu?? Je wkt una miaka 14 ulikuwa umeanza mchezo huu????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom